Jk kwa nini unakubali kuchezewa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kwa nini unakubali kuchezewa hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utiyansanga, Jan 6, 2011.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh Rais !
  Kwa umakini wako wa kufuatilia mambo najua utapata ujumbe huu.
  Hata kama ni kinyume chake wasaidizi wako watakufikishia ujumbe huu.
  Kama hawatakufikishia basi Roho wa Mungu atakuongoza kuupata ujumbe huu.
  Mh Rais!
  Tangu ulipoingia madarakani tumesikis mengi sana kukuhusu wewe binafsi pamoja na kibarua tulichokupa.lilianza suala kuwa na wewe ni fisadi!Lakini majibu yaliyotolewa kuwa wewe ni safi yalikuwa mepesi mno!Tena waliosema mpaka leo wanatamba kuwa hakuna mwenye ubavu wa kuwapeleka mahakamni !MAMLAKA YA YETU yanadhalilishwa hivi!
  Wengine wakaandika kuwa mna uhusiano wa karibu na wamilii wa BARRICK!
  Leo tena wanaibuka wanasema unauhusiano na ufisadi wa Dowans lakini IKULU imekanusha kuwa huu ni Urongo! Kwa nini urongo huu uendekezwe hivi .
  Mh Rais!
  Kauli zako kuwa watuhumiwa wa EPA walirudisha fedha hadharani na wakachwa wanadunda ni fedheha kubwa sana kwako na sisi wapiga kura wako.
  Lakini haya tuyaache historia itasema! kwa hawa wanaokusema kwa mabaya haya kwa nini usiwashughulikie /au unasubiri umalize urais wako!?
  KUMBUKA UONGO UKIRUDIWA HUGEUKA KUWA UKWELI ,ITAKUWAJE SIKU UTAKAPOACHA MADARAKA MAKUBWA ULIYONAYO SASA!
   
Loading...