JK; Kura ya maoni ya katiba mpya ni May, 2014, Je ni kweli maboresho ya daftari yatafanyika?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Rais wa Tanzania akiwahutubia mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania,

Kawambia kuwa kufikia mwezi May wananchi watapiga kura ya maoni sasa najiuliza hivi ni kweli mabolesho ya daftari yatakuwa yameshafanyika??

Source habari leo
 
Nani kakwambia kuwa ni may acha uongo wewe tafuta kwanza tarifa za kutosha ndipo uongee ila jua kuwa siyo mwezi may.
 
Rais wa Tanzania akiwahutubia mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania,

Kawambia kuwa kufikia mwezi May wananchi watapiga kura ya maoni sasa najiuliza hivi ni kweli mabolesho ya daftari yatakuwa yameshafanyika??

Source habari leo
Mkuu wanahari wetu huandika tarifa bila kutafiti huu ni uandishi wa kuandika bila kushirikisha wahusika zoezi hilo tunajua ni mwezi wa saba wasiliana na tume uone.
 
Hata uchaguzi 2015 hautafanyika kwa mtindo huu..Lipumba alisema wakamzodoa
 
Rais wa Tanzania akiwahutubia mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania,

Kawambia kuwa kufikia mwezi May wananchi watapiga kura ya maoni sasa najiuliza hivi ni kweli mabolesho ya daftari yatakuwa yameshafanyika??

Source habari leo

Kikwete alihutubia kwa lugha gani? Maana English haipandi. Hebu mleta uzi tujuze
 
kwani kitu gani kinashindikana? Maboresho ya daftari yanaweza kufanyika kwa wiki moja tu
 
Mkuu, hivi upo serious wewe? Au unamsema mwenyekiti wako Freeman Mbowe ambaye hawezi kutamka neno la kiingereza hata moja
 
Umefanya utafiti katika hilo? Au unahadaika na kelele za wanywa gongo wale waliokuwa wanatwangana mawe hivi juzi?

Kijana,huoni idadi ya wanaoitetea CCM mko wachache!? Na wewe unaongoza kwa kukanusha kila lihusianalo na uozo wa CCM.. Uko tayari ufuatilie kila Comments ili Povu likutoke tu...
 
Mkuu, hivi upo serious wewe? Au unamsema mwenyekiti wako Freeman Mbowe ambaye hawezi kutamka neno la kiingereza hata moja

Yeah nipo very serious. Mh.mbowe hana degree wala udokta fake! Inajulikana kabisa mh.mbowe ni form6. Lakini kikwete mnayedai amesoma mbona kingereza kuongea ni shida...angalia wakati president Obama alipokuja bongo kikwete alishindwa kuongea kingereza mpaka jasho linamtoka...aibu sana.

Pia mimi siyo mkuu wako, wakuu zako wako lumumba.
 
Mkuu wanahari wetu huandika tarifa bila kutafiti huu ni uandishi wa kuandika bila kushirikisha wahusika zoezi hilo tunajua ni mwezi wa saba wasiliana na tume uone.

Ilisemwa katiba mpya ingezinduliwa April 26, 2014 sasa kura ya maoni mwezi wa 7 ya nini?
 
kwani kitu gani kinashindikana? Maboresho ya daftari yanaweza kufanyika kwa wiki moja tu

Kumbe ndio maaana NCH hii imebaki maneno matuupu! kwa hicho ulicho andika uko serious Mkuu,,,!? naww wanakuchagua kuwa kiongozi wao kwa mawazo ya namna hii cni hatari! NCH nzima uboreshe daftari kwa 1wk khaaa,,,,!
 
Umefanya utafiti katika hilo? Au unahadaika na kelele za wanywa gongo wale waliokuwa wanatwangana mawe hivi juzi?

Ndgu yangu penda CCM lkn pia weka AKIBA ya Maneno mambo yanabadilika sana! Vijana waliobaki ccm niwale wenye maslah ya 1 kwa 1 pia Wazee2! vijana wa sasa wanaojitambua huwezi kuwadanganya na Mambo ya CCM chama cha NYERERE watu wanaangalia wakati uliopo,,,!
 
Back
Top Bottom