JK kupangua CCM #1 Mkamba nje list inafuata....

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
141
8
Mwenyekiti wa taifa CCM anajipanga na kupangua safu nzima ya chama cha mapinduzi namba moja akiwa katibu mkuu wa CCM Yusufu Makamba na orodha ya wengine itafuata baadaye tusubiri nita waletea habari zaidi....
 
ok, hapo nimekupata mkuu ! naomba utupe majina mengine ya watakaotelewa na watakaoingia !
 
Hapo afadhali maana apunguze waswahili wamezidi kazi kuchonga kila kukicha hata waziri wa habari hafai nae aondoke
 
Kuna Tetesi kuwa Col.Mstaafu Abdulrahman Kinana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Lt.Mstaafu Jaka Mwambi wana nafasi kubwa ktk Uongozi wa Juu wa CCM.Kinachostua zaidi wote ni Askari Wastaafu!,Naona nidhamu ya Jeshi inapandikizwa ndani ya chama cha Mapinduzi.
 
Abdulrahman Kinana na Lowassa ni maswahibu wakubwa sana, kama Kinana akipata uongozi wa juu wa CCM inamaana more power kwa Lowassa. Let us wait and see.
 
Mwenyekiti wa taifa CCM anajipanga na kupangua safu nzima ya chama cha mapinduzi namba moja akiwa katibu mkuu wa CCM Yusufu Makamba na orodha ya wengine itafuata baadaye tusubiri nita waletea habari zaidi....

Huyu Makamba siyo tu hastahili nafasi hiyo, bali hata ujumbe wa nyumba kumi kumi. Oh! well lakini CCM hii ya leo siyo ile ya mwaka 1977. Imejaa wala rushwa, mafisadi na watu walioweka mbele maslahi yao badala ya Taifa.

Mtu mwenye akili timamu hawawezi kukubali nafasi hiyo mpaka Muungwana amhakikishie kwamba kutakuwa na mabadiliko makubwa ili kurudisha credibility ya chama hicho kwa Watanzania, lakini kama atateuliwa fisadi na mla rushwa basi ataona huu ni wakati wake wa yeye kujitajirisha na kutengeneza 'mtandao' wake.
 
Mlipost ya spika kutaka kujuzulu tukakataa bado mnapost tu ujinga?! jifunzeni!
 
Kinana is another jambazi hana huruma na maisha ya Watanzania yeye kwake maslahi na si maisha ya Watanzania na Tanzania yetu. Ni mnyama sana na hata wizi wa kura anategemewa yeye na Malecela kuongoza mapambano kila mara .

Si wamweke Malecela maana yeye kama Kingunge kila kukicha wapo hadi wanaita watoto wao Bungeni kuwa ni mwiba badala ya kutumia busara za Mzazi na kuweka Tanzania mbele .
 
Kama atapangua, basi anaweza kusaidia ku restore credibility ya chama...lakini mnaonaje style ya kila mwenye biashara kutaka kujificha kule CCM? ni jambo ambalo lina hatari? na laweza kuepukika? maana nahisi kama business men wanaenda kutaka nguvu zaidi ya kisiasa ili kulinda pesa zao kule CCM. mnalionaje hili wakuu?
 
hivi ndivyo JF inapoanguka, watu kuleta udaku kila saa, kuna watu wanajenga credibility na habari zetu ila tukiwaacha hawa kila saa tutaangukia pua.

moderators ipeleke kwenye udaku
 
Kinana EL connection kweli kabisa. Lakini guys believe me pamoja na kuwa watu wanaweza kuanza kuquestion uraia wa Kinana, we need him for the good of the country. I wonder where was CCM kabla ya hapo, why in Allahs name they had to give that position to Makamba. Sioni kama ni kitu kibaya hicho. Naweza kusema huo ni uamuzi mzuri kabisa kama utatekelezwa.
Chama ndio kinachoongoza Serikali, kama that is how it is gonna be, vilio vya wana na sauti za wana JF zinasikia na zinakuwa kweli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom