JK kuongea kwenye mazishi ya Mandela

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,143
15,130
Rais JK anatarajiwa kuongea kwenye mazishi ya Mandela yatakayofanyika kijiji cha Qunu Afrika Kusini. Ataongea akiziwakilisha nchi zilizo kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa kupigania Uhuru na hasa ubaguzi wa rangi wa Afrika kusini.

Source; The Citizen
 
kama namuona baba rizione anavyokomba ujiko...ila msitegeme kama ataongea kiswahili wakati anajua kiingereza
 
Wandengereko ndivyo walivyo they like show off at any expense, so after he has spoken then what?
 
The best thing they have to learn is what Mandela did to Africa n the rest of the world that made him to be a standing man n an icon of the world,that people of various nations have gathered to pay the last respect to Madiba but with our today's African leader who come in power at even a blood shed,handless but they leave with trilions n diamonds,
 
mkulu a2lie kiguna njia.am2me pinda amwakilishe sialisha enda kwenye misa tena kufatann?
 
Jk tuhurumie wananchi wako ulikua SA,jana KENYA,J2 TENA SA wakati kina mama na watoto wanalala chini mahospitalini why?KAA UTULIE UTATUE MATATIZO YA JAMII
 
Nimekumbuka jina moja la mchezaji wa bon town katika gazeti la Sani enzi hizo alikuwa naitwa Bob Mazishi kama sikosei
 
Loh, hii opportuni imepiganiwa kwa hari na mali na kama mwishowe imepatikana basi kiroho kwatu! Sijui itatugharimu kiasi gani...
 
Loh, hii opportuni imepiganiwa kwa hari na mali na kama mwishowe imepatikana basi kiroho kwatu! Sijui itatugharimu kiasi gani...
Kuna watu humu JF pia hii nafasi waliililia sana na walilalamika kwamba why hakupewa nafasi wakati wa Ibada ya kumuombea Mandela...nadhani hii pia watafarijika sana... go JK
 
Media za Zambia wamelalamika kwamba wanadhani wamedharauliwa kwa vile eti Kaunda hakupangwa kuzungumza awali ya kwanza pamoja na (au badala ya) akina Obama. Sijui kama awamu hii atapangwa kuzungumza huyo Kaunda.
 
Wandengereko ndivyo walivyo they like show off at any expense, so after he has spoken then what?
Bwana mdogo hii ni heshima kwa CCM na Tanzania, Serikali ya CCM kwa muda mrefu imekuwa mstari wa mbele kupigania haki,ukombozi na haki za binadamu duniani kote na mwaliko huo ni ushahidi, huku kwenye CCM ukija mija kwa moja utakuwa kwenye urafiki na vyama vinavyounda serikali kwa mfano...CUBA,CHINA AFRICA KUSINI nk..ndio maana hata conservative ya UK ambayo ni rafiki wa CDM walikuwa wanamwogopa Mwalimu Nyerere mara kadhaa Margareth Thatcher alifyata kwa hoja za Tanzania Chini ya CCM
 
Back
Top Bottom