Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 733
Masha ndio hivyo tena kaangukia pua sasa nauliza je JK atambemba swahiba wake kwa kumpa cheo gani??

Ubunge viti maalumu si maalumu kwa kina mama au?Ubalozi au Ubunge wa viti maalum
Acha kuota ndoto za mchana wewe, labda uhame Tz.Hivi unadhani JK ni rais wa Tanzania na Watanzania?. Ngoja nikwambie, Rais wa Tanzania na Watanzania ni Dr. Slaa.
Masha ndio hivyo tena kaangukia pua sasa nauliza je JK atambemba swahiba wake kwa kumpa cheo gani??
Kuna kila dalili Masha, Dr Kamala, Marmo, Batilda wakarudishwa kwa kupitia viti 10 vya kuteuliwa na RAIS