JK kukubali swala la KATIBA MPYA ni changa la macho kwa vyama pinzani na wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kukubali swala la KATIBA MPYA ni changa la macho kwa vyama pinzani na wananchi

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by silver25, Jan 10, 2011.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wiki moja toka JK atangaze rasmi kuwa naye ANAUNGA MKONO SWALA LA katiba mpya, lakini mpaka sasa hivi ninavyosema, ninauhakika changa hili litaendelea kuwasha mpaka atakapo maliza 5 years yake na kutokomea gizani,

  ukweli ni kwamba JK amekubali ili kuzima mishumaa ya Dikuduku ya Watanzania na vyama Pinzani wanao dai katiba HASA CHADEMA WANA DEMOKRASIA, na kuthibitisha hili

  "" NAULIZA JE JK AMELIONGELEA HILI TENA KATIKA OCATIONS ZINGINE?" KAMA HAJALIONGELEA HILI wADAU TUMEUMIA CHA MSINGI TUSILEGEZE KAMBA.

  mOVEMENT ZIENDELEE, KAMA ARUSHA
   
Loading...