JK kujenga uwanja wa michezo Msoga maana yake nini?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,494
2,040
Rais mstaafu wa awamu ya nne ameomba na kupata ufadhili wa kujengewa uwanja wa michezo kijijini kwao Msoga na wafadhili toka China.

Chanzo: Clouds

Je, kuna manufaa mapana au ubinafsi tu?
 
Nikadhani uwanja wa ndege kama nilioomba nijengewe huku kijijini kwetu kumbe wa kwake ni wa michezo; mwachani afanye mazoezi mzee.
 
Hawa viongozi wetu hawa..
Inasikitisha...
Haya na Chato inajengwa airport.. Sijui wakupanda ndege kule ni nani.
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne ameomba na kupata ufadhili wa kujengewa uwanja wa michezo kijijini kwao Msoga na wafadhili toka China.

Chanzo: Clouds

Je, kuna manufaa mapana au ubinafsi tu?
Kuna haja ya kupima uwezo wenu nyie baadhi ya watanzania wenzetu. Mmejawa roho mbaya roho mbaya na mawazo ya kimaskini. Tufanye kuwe na viwanja vya kisasa vya michezo nchi hii kila kijiji, shida iko wapi? Kikwete aliwajengea kidongochekundu Dar watoto wenu wanajifunza soccer usiku. Je watoto wa msoga hawana haki hiyo? Mnakuwa na roho mbaya utadhani mtu fulani!
 
Kama sio kodi ya wananchi kuna tatizo gani, lazima ajali watu wake waliomfikisha alipo.
Kwa sasa rais ni Magufuli ndiye mwenye jukumu la kushughulikia watz wote
Rais mstaafu wa awamu ya nne ameomba na kupata ufadhili wa kujengewa uwanja wa michezo kijijini kwao Msoga na wafadhili toka China.

Chanzo: Clouds

Je, kuna manufaa mapana au ubinafsi tu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom