Mr. JayJay
Member
- Oct 17, 2010
- 10
- 0
Jamani,kwa tuhuma zilizotolewa na Dr. Slaa kuwataja mafisadi kumi na moja(11) akiwemo Jakaya,ni ukweli usiopingika kabisa.Nasema hivi kwa sababu kati ya mali alizonazo mtu huyu zinazidi sana tu kwa kipato alichonacho hata kama yeye ni Rais.Kwanza kuna Breaking News tu za umilikaji Hoteli fulani hivi kubwa sana ambayo bado inajengwa karibu na Bagamoyo.(Kwa Hoteli hii sina uthibitisho sana kwa sababu bado nafuatilia).
Pili,anamiliki hoteli kubwa sana kuliko zote katika Hifadhi ya Taifa Ya Serengeti iitwayo Bilila Lodge Kempinski.Mimi nafanya kazi TANAPA na ninafahamu kila kitu katika hii hoteli.Kwa kuijua zaidi hii Hoteli tafuta kwenye Google "BILILA LODGE KEMPISKI" au fungua website www.kempinski.com/en/serengeti .ainkiller: