JK kubadilisha ma CEO wa mashirika ya umma; baada ya wakuu wa mikoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kubadilisha ma CEO wa mashirika ya umma; baada ya wakuu wa mikoa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 18, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mh JK anatarajiwa kubadilisha wakurugenzi wa mashirika ya umma muda si mrefu kuanzia wiki ijayo na hasa wale anaowahisi awako nae pamoja....habari zaidi zinasema wakurugenzi wa ATCL;BIMA;NDC;TTCL;TANESCO na mengineyo ni mashirika yatakayoguswa na panga pangua hii ya mh ....kutokana na yaliofanyika kwa wakuu wa mkoa wadau wanahisi wa BIMA akaenda TANESCO;Wa ATCL akaenda BIMA;ndc KAENDA ttcl;na hivyo tusitarajie CEO wapya zaidi ya kubadilishaana
  kwa habari zaidi stay tuned
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Hahahaa yaaa JK anatufanyia new episodes tu hana jipya....amalize tu aende zake asubirie kushitakiwa....na pres ajaye...kwa kuwakumbatia mafisadi ...
   
 3. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mama Mia,

  Kama watakaobadilishwa ni wale ambao hawako nae pamoja, mbona "wadau wanahisi" kwamba hatawafukuza bali kuwafanya wabadilishane kazi tu? Kwa hiyo adhabu ndio wabadilishane kazi, mtoe ATC mpeleka TTCL? "Wadau wanahisi" Rais hatawafukuza japo hawako pamoja nae. Kwa nini?

  Mwisho, naomba utoe tandawazi, kuwa wewe mwenyewe ndiye au sio hao "wadau wanahisi."
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  Mwisho, naomba utoe tandawazi, kuwa wewe mwenyewe ndiye au sio hao "wadau wanahisi."
  mkuu kidogo nifafanulie :**TANDA WAZI** kwetu kiluga lala wazi...
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  CEO ni vyeo vinavyopigwa vita siku hizi katika ulimwengu wa kwanza wanasema hawa inakuwa hawana kazi yeyote ile zaidi ya kutafuna feza ,na huwa hata kazini hawapiti au kuonekana ,inasemwa kuwa kuna mfumo maalum unaandaliwa wa kuunda bodi inayotokana na wafanyakazi wenyewe ,ambao watakuwa ndio watatuzi wakuu katika matatizo ya shughuli zao za kila siku.Maana sijui kwa hapa Tz huwa CEO analipwa ngapi lakini huko majuu analipwa kwa saa , Mpo.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  .Maana sijui kwa hapa Tz huwa CEO analipwa ngapi lakini huko majuu analipwa kwa saa , Mpo.
  yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na maria kumbe ndio maana inaonekana wanasomaga wenzao wanavyolipwa na kukuta hawawafikii na kuanza kutafuta vyanzo mbadala inawezekana tatizo si lao bali uwiano
   
 7. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Weka wazi.

  Toa disclosure kwamba wewe sio au ndio hao hao uliosema "wadau wanahisi."

  Kuhusu maneno ya kilugha "tanda wazi," hayo ni maneno mawili tofauti, ndio yanamaanisha kulala wazi. Mimi nimesema "tandawazi." Wewe mwenzangu unafikiria kulala bila nguoooo! Umewaza mbali mno.
   
  Last edited: Apr 18, 2009
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  ni lugha tu mkuu dilunga nimekuelewa hapo;ilibidi niogope kidogo
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  Toa disclosure kwamba "mimi sio au ndio hao hao niliosema 'wadau wanahisi

  mkuu mimi sio hao mkuu ila nilitamani niwe hao;
   
 10. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aaaah, Mama Mia, sasa cha kutisha nini hapo? Ndio ukubwa huo ati.

  Nimekuelewa.
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  mkuu Dilunga
  **kulala wazi** mmmh!!!labda nifikishe miaka 75;sasa hivi kila mtu anamawazo ya ajabu
  unaweza hisi huyu ndie tena wa miaka mingi uanasikia usiku anapitisha bahati mbaya kwenye river between ,,,ati samahani imepit***mkuu ntapewa warning gday
   
 12. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Mama Mia,

  Hiyo habri kweli tupu. Lakini wanasema mtu akifanikiwa kuvuka the river between bila host country kushtuka ni kwamba umetaka, maana wanasema natural defence ni kali sana kuzunguka the river between, unless toka zamani ulishaharibu na sasa meli ya adui ikija at the gates inakuwa ni things fall apart. By the way, kwani si kweli kwamba nchi mbili zikitiliana mkataba wa mahusiano basi the river between na kila kitu vinakuwa ni international waters za wote wawili? Na pia wanasema Tanzania Bara akijifanya mstaarab kwa sana kuheshimu homeland security ya Zanzibar eti kuna ma terrorist outsiders watakuja ku invade Zanzibar. Na Zanzibar pia ikiringia sana free navigation kwenye what is supposed to be international waters then Tanzania Bara nae ataenda kutafuta makoloni Comoro. Sijui.

  Mmmhhh, habari kubwa. Weekend njema.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  Mmmhhh, habari kubwa. Weekend njema

  Mmmmmmmmhhh waonekana mtaalamu;wapi wekeend ???
   
 14. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ha aha aaaaaa

  Wewe si ulishaaga? Sasa mimi ndio nimekuwa mtaalam wa hizi open secrets tena?

  Huo utaalam sitaki, bibie sitaki, bibie sitaaaaki!
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  Huo utaalam sitaki, bibie sitaki, bibie sitaaaaki
  loooh leo hiii imekuwa hivyo mkaka haya
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,237
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  waogopa nini dilunga ukubwa jiwe mi ntakuwa riverbetween mida ya saa tatu pale golden bridge wewe best
   
 17. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duuu, wazungu wanasema "the plot is thickening." Sasa habri za kukutana hizo si za kuongelea barazani, zina mahala pake. Ya barazani haya hapa:

  Ni nani kati ya Rais na Bodi anaefukuza na kuteua hawa wakuu wa mashirika anyway? Soma hizi habari mbili hapa:

  Siku za Mkurugenzi Tanesco zahesabika
  IPP MEDIA
  Na Simon Mhina
  2009-03-09

  Siku za Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Dk Idris Rashid kuendelea kushika wadhifa huo sasa zinahesabika baada ya baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuanza mikakati ya chini chini kuhakikisha mkataba wake unaomalizika Septemba mwaka huu, hauongezwi.

  ``Tumedhamiria kwamba mara baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitatu, kamwe sisi wajumbe wa Bodi hatutakubali kumpa kipindi kingine ili aiongeze tena Tanesco,`` alisema mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo.

  Uteuzi wa Dk Rashid kushika wadhifa huo wa Ukurugenzi wa shirika hilo ulitangazwa na Bodi hiyo mwishoni mwa mwaka 2006.  Dk. Rashid aombwa arejee Tanesco

  HABARI LEO
  November 23, 2007

  Akizungumza na gazeti hili Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi, alisema uamuzi wa mkurugenzi huyo hauwezi kuingiliwa na serikali kwa sababu yupo chini ya bodi lakini alikiri kupokea barua ya kujiuzulu kwa saa 24 kutoka kwa mkurugenzi huyo jana.

  Naye Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu alisema serikali ..."Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco anaripoti kazi kwa bodi hivyo Rais yeye ni mteuzi tu wa anayeshika nafasi hiyo, hawezi kuingilia chochote. Nadhani bodi inahusika moja kwa moja na suala hili," alisema Rweyemamu.
   
 18. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JK hawezi kitu hata kwa dawa.....apangue asipangue performance yake zero tu
   
 19. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  umesema hata kazini hawaendi alafu unasema wanalipwa kwa saa, kama wanalipwa kwa saa sindio wangekuwa wanashinda kazini mda mrefu, huwoni kwamba hii statement yako inaingiliana.

  Kwa ajili wanalipwa salary ndio maana siku ingine wanaishia kucheza golf na kutokuja kazini, lakini ma ceo wengine wako motivated kweli.

  Ma ceo wanalipwa salary na sio wages, ni kwa mwezi na sio kwa saa.......
  Hawalipwi overtime wala nini.
   
Loading...