Elections 2010 JK kuagwa!

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Tumeshuhudia raisi Karume akiagwa last week na gwaride la nguvu.
Ivi katiba inasemaje kuhusu JK manake to me is common sense aagwe kabisa manake Slaa akichukua nchi hatutakuwa na mda wa kumuaga.
Na kama katiba haina iyo provision kuna haja ya kuiweka maana mambo ya mtu anakuwa Mgombea alafu raisi wan chi ni kero.As a result watu wengi wanafanya kazi kwa woga kama akina TIDO ili kulinda kibarua.
So kuepuka iyo aibu ni kheri angeagwa au ndo atachapa mwendo kimya kimya
Ni ushauri tuu jamani msipandwe na jazba buree
 
Mkuu Njowepo, yaani safari hii kwa kweli ndiyo nimeona ni namna gani katiba yetu inahitaji kurekebishwa haraka!
 
Naah ashakagua magwaride kibao.
kwa afya yake akikagua gwaride la mwisho anaweza aanguke na asisimame tena ikatia doa siku kuu yetu ya mapinduzi
 
Itabidi aagwe kama ilivyo kawaida. Ila hakuna mtu ataruhusiwa kwenda mbali sana maana nasikia wamekomba Hazina. Kumebaki kweupe! Lazima wawe karibu wakati tunachunguza imekuwaje tufilisike hivyo.
 
Back
Top Bottom