JK Kaunda baraza hili la mawaziri kwa hilari au ni kwa shinikizo?

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers;
Hebu naomba tujadili juu watu kama Mwandosya na kina SiTTa japo kamtelekeza kwa kumpa wizara hasi kwake, Najiuliza kwa nini maswahiba kawatosa???
Kwa nini ujenzi amelazimika kumuweka Magufuri na Mwakyembe?
Mtu ambaye alitahidi kumficha kwa kumpa wizara zilizokuwa zimeshindana??????

Karibu:target:
 
Kwa harakaharaka unaweza ukona amewatosa, lakini si kweli, wote wako nyuma ya pazia na ndio wanaoendesha serikali yake. Kama ulimsikia wakati akitangaza baraza lake alikuwa akitumia mara kwa mara neno "tumeamua..." "tuliona..", una fikiri ni yeye Bilal na Pinda? la hasha na mafisadi.

Kama litashindwa kutekeleza matakwa ya mafisadi si ajabu likavunjwa na kuundwa lingine kama tulivyozoea na goven ya JK
 
Kumweka Magufuli na Mwakyembe pamoja ni misallocation. Mwakyembe angepewa Mambo ya ndani au nyingine nyeti kama Wizara ya Madini maana sioni tofauti kati ya Ngeleja na Professors - Kapuya+Msola+Mwakyusa.
 
Mi nadhani JK na maswahiba zake wanajua ni nini wanafanya.
Wamesoma mazingira ili watu muwasahau.
Mbali na uwaziri, kuna vitengo njeti sana ambavyo ni zaidi ya uwaziri. Huko ndipo atawapeleka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom