Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Katika tukio la Arusha,tulishuhudia jinsi JK anavyowadharau wananchi,aliwaita mabalozi wa nchi za nje na kuwaelezea tukio zima la arusha,pia kusema haltatokea tena.
Hoja yangu hapa ni Jk anawajibika kwa mabalozi au kwa watanzania?Au ndo kama alivyopata kusema Frantz Fanon kuwa viongozi wa africa wapo madarakani si kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wao,bali ili wafanane na wazungu,waweze enda ulaya etc.Ni wazi kuwa wengi hatuna imani na Jk ila laiti angewataka radhi watz katika mauaji ya kikatili ya arusha angalau tungemsamehe,,,kwa kuendelea kukaa kwako kimya Jk unajiandalia anguko kuu,,,,,
nawasilisha
the strugle continues