JK in action: Mikakati 2008/09

Moderator

Supervisor
Nov 29, 2006
698
1,129
i338_wizaranataasisimbalimbaliPage01.jpg

i339_wizaranataasisimbalimbaliPage02.jpg

i340_wizaranataasisimbalimbaliPage03.jpg

i341_wizaranataasisimbalimbaliPage04.jpg

i342_wizaranataasisimbalimbaliPage05.jpg


Proceed by downloading the attached doc
 

Attachments

  • JK08-09.pdf
    112.5 KB · Views: 184
Waht is so special about these data? Zipo kwenye budget books ambazo zilishatolewa tangu July last year
 
mkuu hizi pesa zinavyokuwa allocated siamini kama ni sahihi. hicho ndicho ninachohoji mimi

Ahaaaa, vema sana. Laini ungesaidia kwa kuonyesha wapi ambapo panakutia wasiwasikwamba upangaji wa fedha si sahihi ili kuelekeza mjadala zaidi
 
Kweli, sioni la maana kwa kutazama figures iikiwa tatizo ni utekelezaji wake..

Labda, kilichonifunua macho ni hizo Billioni 24 (Nishati na Madini) ambazo zinatarajiwa ku convert mitambo ya IPTL itumie gas.. Sielewi serikali inahusishwa vipi na kwa mkataba gani ikiwa serikali hununua umeme IPTL!...
 
Mod hii ni habari ya uchumi ingefaa iende huko tukaichambulie huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom