JK,ilani ya CCM imetekelezwa kwa90%,sohali tuliyonayo sasa ndio uwezo wake unapoishia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK,ilani ya CCM imetekelezwa kwa90%,sohali tuliyonayo sasa ndio uwezo wake unapoishia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luvcyna, Oct 3, 2010.

 1. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  NATAMANI SANA SIKUMOJA NIPATE NAFASI YA KUMHOJI HUYU KIKWETI NA SERA ZAKE KWAMBA ILANI YA CHAMA CHAKE AMEITEKELEZA KWA ASILIMIA 90..... SO HII INATUPA PICHA GANI!!!! HAPA TULIPO SASA NA HALI HALISI YA MAISHA YA MTANZANIA KWA SASA, NDO MWISHO WA UWEZO WA CCM NA JK KWA 90%??? KAMA NDIVYO BASI KUWAREJESHA MADARAKANI KAMA WANAVYODAI, NI KWENDA KUMALIZIA HIZO 10% ZILIZOBAKI..!! TUJIULIZE, HAYA NDIO KWELI MAFANIKIO WATANZANIA TUNAYOSTAHILI???

  JK anadai tusichague kwa majaribio!! wakatiyeye mwenyewe kama msomi kweli anatambua njia ya kulifanya jambo kwa umakini ni kulifanyia majaribio... tulimjaribu yeye 2005 lakini katuangusha.. sio vibaya tukijaribu kwa mwingine, DR. Weapon ( Slaa) ndio jibu letu la ukweli.. watanzania tufike mahali sasa tufunguke macho
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani JK huwa anaishikaga tuu iyo ILANI sidhani kama anakipitiaga kilichomo
   
Loading...