JK, iga hii kwa rais wa Misri nimeipenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, iga hii kwa rais wa Misri nimeipenda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Jul 1, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nimesikia raisi wa Misri atahutubia taifa hilo kupitia wanachuo wa vyuo vikuu nchini.

  Naomba raisi wangu mtukufu iga hili. Achana na hao wazee wa CCM wa dar na kuhutubia Vivuri unashindwa kupata tathimini ya wazi kwa unaowahutubia ili kujua lipi unastaili kuendelea kuliongelea na lipi uliachie njiani.
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  We humtakii JK mema. Aende vyuo vikuu aumbuke. Rais Mursi ni profesa wa kweli sio kama wale madaktari kugawiwa. Anajua maana ya elimu na anayo ya kutosha. Kwa bongo hili liliwezekana wakati wa Mwalimu Nyerere ambaye alipenda sana kwenda pale Nkrumah kunoa akili. Kwa sasa watu wako bize na akina Kanumba, Drogba, Maximo na upuuzi mwingine. Hayo tuyaache.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wale wanaogopaga kumbana boss wao. Akikaa na wasomi watamchallenge atakua hawezi kujibu malalamiko yao
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mkweree hawezi kumuiga Rais Morsi kwani yeye alikuwa mwanafunzi wa Mubarak na ndiko alikokuwa amekwenda kujifunza jinsi ya kumrithisha mwanae madaraka baada ya yeye kumaliza muda wake; lakini hakumaliza masomo yake kwani Mubarak alikumbwa na dhoruba ya Arab Spring, na kama wasemavyo waingereza THE REST IS HISTORY!!!
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  JK na udocta wake wa kuunga unga aende vyuo vikuu tena... una utani wa nguoni mkuu.......
   
 6. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  chuo gani aende JK labda akahutubie chuo cha mafunzo cha CCM, huko kwenye vyuo umeenda mbali mkuu, ajaribu kwenda kuhutubia hata pale Mbeya day secondary au Pamba secondary pale mwanza aumbuke
   
 7. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ivi kweli unahisi raisi wako hana point za kuongea na wanazuoni?

  Sasa hawa wazee wanamshauri nini na wanaushawishi gani kwa taifa?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  Unataka baba Mwanaasha apigwe mawe?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Labda akahutubie msitu wa gombe nyumbani kwa yuleeee!!!!!!! Au msitu wa pande kwa wakina msangi
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  Wasomi wenyewe ndio Hao wanaodesa jk akienda badala ya kuongea mambo ya kitaifa watamlilia njaa... Hata mi.ningekuwa jk nisingepoteza muda wangu
   
 11. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Huyo RAIS MORSI ni scientist educated in America and he knows how to use or addressing intellectuals. JK cant do anythng, akienda chuo ujue it is all for ceremonial and show offs.
   
 12. King2

  King2 JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anaongeaga na vizee.
   
 13. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Rais wa Misri ni rais kutoka Chama kongwe la upinzani barani Afrika.
  Ni msomi aliye bobea ana PhD ya Engineering from USA.
  Huyu mchovu wetu ana Digrii ya KUDESSA ya Political Economy kutoka UDSM lakini bado akiitwa Dr na akina Muhidin Michuzi na akina Nchimbi bado anavimba bichwa na kujiona msomi wa ukweli.
  Ukihutubia wasomi jiandae na maswali ya kukaanga bongo

   
 14. D

  DOMA JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  mbeya day watoto wa mjini atapata aibu ya mwaka kwa uwezo wake labda watoto wa shule ya msingi matai na mtutumbe
   
 15. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Xaxa hapo hata Dr Slaa ataweza??? Coz tutamuuliza Bachelor na Masters ulisoma wapi???
   
Loading...