JK huyooo anaenda zake kwao kula mwaka mpya

ms1.jpg Mheshimiwa Rais Kikwete (suti nyeusi na shati jeupe) akiwa kijijini kwake Msoga akishiriki na ndugu wa karibu / wanakijiji wenziwe kuangalia fataki / rasharasha angani ikiwa ni sehemu ya kusherehekea kuanza kwa mwaka mpya 2012 usiku wa kuamkia jumapili ya 01 /01 /2011. (Nukuu toka Michuzi blog spot)
 
topic za kijinga jinga kama hizi zinaachwa tu...ukileta Topic kwa ajili ya kujadili mambo mazito, kuhusu mustakabali wa Taifa letu Mods wanaifuta!
 
View attachment 44423Mheshimiwa Rais Kikwete (suti nyeusi na shati jeupe) akiwa kijijini kwake Msoga akishiriki na ndugu wa karibu / wanakijiji wenziwe kuangalia fataki / rasharasha angani ikiwa ni sehemu ya kusherehekea kuanza kwa mwaka mpya 2012 usiku wa kuamkia jumapili ya 01 /01 /2011. (Nukuu toka Michuzi blog spot)
Utafikiri katibu kata ,kweli Rais badala ya kuungana na Watanzania wake anakwenda kijijini kwake na msurulu wa magari sidhani kama anawashauri wa kumshauri.
 
Back
Top Bottom