JK, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 3) (178) (1,2,3,4,5....) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 3) (178) (1,2,3,4,5....)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Babkey, Apr 4, 2012.

 1. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...Yahaya Hussein anakiita chama kuzimu, usipobadili mwenendo na kumwomba Mungu kwa kutenda yanayompendeza hakika chama kitafariki.

  ...maji mafupi ameweka "chuma ulete" kwa mifuko ya watu ndio maana wananchi wanalalamika maisha magumu.

  ....mwanao hakufeli ila walikujaribu na kutaka kuaibisha familia yako.

  hayo tu kwa sasa.
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmmmmmmmh kazi kwelikweli, hivi uchawi upo eeh!!
   
Loading...