JK: hospitali zote zina xray na zinafanya kazi, ana uhakika?

Je? Kinamponda walimweleza kuwa wameagiza vitendanisgi (reagents) feki vya kuchekia HIV? Hawa jamaa wanaskandali mbaya sana na hata wananchi hatuna imani nao tena. Haya tunayoyajua serikali hii inawatetea, je yale mabaya tusiyoyajua si yanatuathiri zaidi? Sijui watanzania tutajitanbua lini?
 
Baada ya JK kuwa President kwa miaka 5 tu ya kwanza...inatosha sana kumfanya kila mtanzania ajione anaweza na anafaa sana kuzidi JK kuwa President walahi tena kila mtu sasa anaweza kuwa President!!!!JK hana jipya kabisa
 
Mnataka rais ndio afanye repair za xray machine? Wabongo bana

upeo wako mdogo sana.... sio kila anayeripoti kuhusu barabara ni mjenzi wa barabara...

amezungumzia kufanya kazi, sio kutengeneza wala repair; hata kutofautisha umeshindwa... acha kutumia masaburi kufikiri
 
a question..., rais wenu analalamika activists hawakutetea wagonjwa hadi wengine wakafa..., je? Yeye kugoma kuwasimamisha kazi mponda na nkya wakati kuna scandal ya bioline below WHO standards, anajua wananchi wangapi wameambukizana kwa kupata majibu yasiyo sahihi!?? Just a question...,
 
anazungumza x-ray wakati hata dawa hakuna hata gao wazee wanatakiwa watibiwe bure lakini cha kushangaza walikuwa wanashangilia ujinga..... siku si nyingi utawaskia wanalalamika wameenda gov hospital lakini hakuna dawa yaani unaenda tu kumuona docta anakuandikia dawa ukanunue famas
 
JMK ANAZUNGUMZIA XRAY ZA APOLLO:hurt: AMESAHAU KUWA ANAONGEA NA WAZEE WA INDIA
 
Huwa nachoka na ambulance za kubebea wamama wajawazito eti bajaji wakati huo barabara ina mashimo kama mahandaki kufika hospital ya wilaya kilometer 120km halafu mama ana Eclampsia kweli afya za wabongo zinapigiwa siasa.
 
taarifa nilizonazo ni kwamba mashine za X RAY katika mikoa na wilaya ni mbovu na mzabuni anayetakiwa kuzitengeneza anayeenda kwa jina la philips amegoma kufanya hivyo kisa wizara ya afya haimlipi kwa wakati.huu ndio upuuzi unaokataliwa na madaktari.halafu vile vizee vya dar vinakaa kupiga makofi pale diamond kama majuha kalulu.
 
taarifa nilizonazo ni kwamba mashine za X RAY katika mikoa na wilaya ni mbovu na mzabuni anayetakiwa kuzitengeneza anayeenda kwa jina la philips amegoma kufanya hivyo kisa wizara ya afya haimlipi kwa wakati.huu ndio upuuzi unaokataliwa na madaktari.halafu vile vizee vya dar vinakaa kupiga makofi pale diamond kama majuha kalulu.


Unajua hawa wazee wa CCM wa Dar walilewa shibe (Pilau na soda). Ngoja, siwamesharudi mtaani. Wakitulilia shida ya msaada wa matibabu tutawaelekeza vizuri waende Ikulu wakachukue tiketi za kwenda India (Apollo). Wametudhalilisha sana hawa wazee, sijui watatushauri nini huku mtaani. Halafu wengi ni mabalozi wa mitaa. Huyu wa hapa mtaani kwangu anajisifiiia kuudhuria hafla ile, namsubiri tu aaanze kulialia shida zao kama kawaida.
 
kama umeme hakuna xray wanamulikia nini.
wamama wanazalishwa kwa kutumia simu ya mkononi
hata mafuta ya taa hata karabai hakuna,lol,

Umenena mkuu, na hospitali ya mkoa Kilimanjaro, Mawenzi haina chumba cha upasuaji, X-ray moja ya kijikongoja, ultrasound moja iliyochika sanaaaa
 
Huyu mtu huwa anaongea kweli yupo serious au anafanya maigizo???? Hospitali ipi hiyo ambayo ina Xray jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbona kikwete unatufanya wote kama watoto wa shule za vidudu. Ya nini kwenda India????? wote si tutibiwe hapahapaaaaaaa...Inauma Inasikitisha Inaudhi Inahuzunisha Inavunja moyo, imani na matumaini. Mkulu uwe na haya kidogo jamani hata kwa hili ii wapi huruma yako?????
 
kikwete kwa hotuba yake amedhiririsha hana ni ya dhati ya kurekebisha afya za watanzania,huu si mgomo wa mwisho unakuja mgomo mwingine ambao atajuta sio leo wala kesho amini unakuja na magogoni patakuwa pachungu,najuwa mnasoma hii thread mfikishieni ujumbe kuwa madaktari sio mbayuwayu watakuja wakiwa na nguvu mpya.
 
kikwete kwa hotuba yake amedhiririsha hana ni ya dhati ya kurekebisha afya za watanzania,huu si mgomo wa mwisho unakuja mgomo mwingine ambao atajuta sio leo wala kesho amini unakuja na magogoni patakuwa pachungu,najuwa mnasoma hii thread mfikishieni ujumbe kuwa madaktari sio mbayuwayu watakuja wakiwa na nguvu mpya.

Najua mnamalizia postmortem ya yaliyojiri toka Ikulu na Kikao cha wazee. Tutamwambia, ila huwa hatusikii huyu mkubwa.
 
No doubt likitokea jambo mjadala anafanya na wazee wa darisalama. Nani mwingine anaweza akakubaliana na mawazo kama haya
 
Back
Top Bottom