JK: Hiki hakikuwa kipindi cha kufanya ziara nje ya nchi

Wakati waziri mkuu anatakiwa kufanya maamuzi muhimu yanayoigusu serikali ni lazima/vizuri akashauriana na mkuu wa nchi!

JK kwa jinsi alivyo kuwa disconnected na mambo yanavyoenda nchini yeye akajiondokea zake na kuacha nchi gizani na wakati Bunge linajadili hoja muhimu kitaifa. Shame kwama JK hana hata intelligence ya kujua hali ya nchi ikoje.

PM amebidi afanye maamuzi bila consultation na JK lakini kwa swala la PS Jairo ikabidi libaki pending.

WaJF ukweli ni kuwa JK hakumbuki tena majukumu yake.
hata David Cameroon yupo sauzi pamoja na IGP wake kustaafu

It seems iko sawa kwa viongozi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom