JK: Hiki hakikuwa kipindi cha kufanya ziara nje ya nchi

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Wakati waziri mkuu anatakiwa kufanya maamuzi muhimu yanayoigusu serikali ni lazima/vizuri akashauriana na mkuu wa nchi!

JK kwa jinsi alivyo kuwa disconnected na mambo yanavyoenda nchini yeye akajiondokea zake na kuacha nchi gizani na wakati Bunge linajadili hoja muhimu kitaifa. Shame kwama JK hana hata intelligence ya kujua hali ya nchi ikoje.

PM amebidi afanye maamuzi bila consultation na JK lakini kwa swala la PS Jairo ikabidi libaki pending.

WaJF ukweli ni kuwa JK hakumbuki tena majukumu yake.
 
Gulfstream ikipaki muda mrefu ni gharama kuimenteini kuliko ikiwa angani.

Thank God this country's prez is an explorer! For Christ -sakes what was we thinking?
 
Jk naye ni janga la kitaifa kuliko hata tatizo la umeme lenyewe. Nchi ipo gizani yeye huyoo!
 
kaka south hiyoooo! Kama vp? Nawe chukua form 2015 mwache ale nchi bwana kwani hakuna Generetor uwashe mkuu,si tulisha choka ni safari ya 314 tangu aingie madarakani
 
Hizi ndio hasara za kupokea khanga, vitenge, shs 2000 na kofia. Kwani miltegemea nini wakati mnapokea hivyo vitu?
 
wakati waziri mkuu anatakiwa kufanya maamuzi muhimu yanayoigusu serikali ni lazima/vizuri akashauriana na mkuu wa nchi!

Jk kwa jinsi alivyo kuwa disconnected na mambo yanavyoenda nchini yeye akajiondokea zake na kuacha nchi gizani na wakati bunge linajadili hoja muhimu kitaifa. Shame kwama jk hana hata intelligence ya kujua hali ya nchi ikoje.

Pm amebidi afanye maamuzi bila consultation na jk lakini kwa swala la ps jairo ikabidi libaki pending.

Wajf ukweli ni kuwa jk hakumbuki tena majukumu yake.

huyu raisi wetu anapenda sana safari so hata kama kungekwa na vita yeye kusafiri ni must. Takwimu za fastafasta

kwa mwaka huu pekee

- kikwete- 16
- kibaki- 4
- mseveni- 3
- kagame-6
- kurunzinza- 7
 
Wakati waziri mkuu anatakiwa kufanya maamuzi muhimu yanayoigusu serikali ni lazima/vizuri akashauriana na mkuu wa nchi!

JK kwa jinsi alivyo kuwa disconnected na mambo yanavyoenda nchini yeye akajiondokea zake na kuacha nchi gizani na wakati Bunge linajadili hoja muhimu kitaifa. Shame kwama JK hana hata intelligence ya kujua hali ya nchi ikoje.

PM amebidi afanye maamuzi bila consultation na JK lakini kwa swala la PS Jairo ikabidi libaki pending.

WaJF ukweli ni kuwa JK hakumbuki tena majukumu yake.

ameenda kumpoza machungu rafiki yake RA.

'mdogo wake' (Pinda) ataendesha nji.
 
Waziri mkuu wa UK ameamua kukatisha ziara yake ya South Africa kwa sababu ya kashfa ya Metropolitan Police na News International na pia uhusiano wake na akina Rupert Murdoch.

JK ameondoka huku nyuma umeme hatuna na sasa hivi inasemekana kuwa maeneo mengine umeme huwa hakuna mpaka siku 3 mfululizo.

Lakini huku nyuma cabinet minister wake yuko under fire na bila kusahau kashfa ya rushwa toka kwa BILIONEA na katibu mkuu wa wizara ya nishati bwana Jairo

Surely if Cameron would return kutokana na pressing matters, why not JK?

Mkiniuliza akirudi aje kufanya nini...well how about firing the entire cabinet for a start na akapewa emergency powers ili tupate huo umeme?
 
Nafikiri tuongee na guiness world book of records, aingie katika record ya..the most travelling president of all time.
 
Gulfstream ikipaki muda mrefu ni gharama kuimenteini kuliko ikiwa angani.

Thank God this country's prez is an explorer! For Christ -sakes what was we thinking?

Sichekagi ovyo but with this one on the RED you have made my day . Mkuu nashukuru probably you're Mr. President's Gulf stream Chief Engineer or his assistant.

Our president is now becoming an object of joke every where!!!!!!!!!!! Kwa mliopoteza muda wenu kupanga foleni kupiga kura POLEEEENI SAAANA!!
 
ameenda kumpoza machungu rafiki yake RA.

'mdogo wake' (Pinda) ataendesha nji.
Mkuu umejuaje?
Aziz alitambaa fasta baada ya hotuba yake huko Igunga, na atakuwa based Sounth Africa kiofisi...........Mtampatia wapi!!!
Kashaondoka hivyo, na M.Kwere kamfuata kumpa pole na kunywa nae chai.

Damn!!!
 
Huyu jamaa hajawahi kuwa serious itakua leo?!! yaani nchi ina matatizo kibao yeye ndio kwanza yuko angani!!!
 
Wakati waziri mkuu anatakiwa kufanya maamuzi muhimu yanayoigusu serikali ni lazima/vizuri akashauriana na mkuu wa nchi!

JK kwa jinsi alivyo kuwa disconnected na mambo yanavyoenda nchini yeye akajiondokea zake na kuacha nchi gizani na wakati Bunge linajadili hoja muhimu kitaifa. Shame kwama JK hana hata intelligence ya kujua hali ya nchi ikoje.

PM amebidi afanye maamuzi bila consultation na JK lakini kwa swala la PS Jairo ikabidi libaki pending.

WaJF ukweli ni kuwa JK hakumbuki tena majukumu yake.

Mkuu Mo-Town kila mtu anayejua kufikiri jambo hili linamuumiza sana. Hivi hakuaona David Cameroon amehairisha safari ya kuja Africa kwa sababu ya kashfa ya News of the World paper la mtu binafsi? Hivi jambo kubwa kama hili la waTZ kulala gizani yeye JK ameliona dogo sana na matokeo yake kumwingiza JAIRO mkenge? Nafikiri habari keshazipata na sijui kama atalala usingizi. Inaniuma na kwa bahati mbaya sina la kufanya zaidi ya kuomba waTZ waamke wamhukumu wenyewe.
 
sichekagi ovyo but with this one on the red you have made my day . Mkuu nashukuru probably you're mr. President's gulf stream chief engineer or his assistant.

Our president is now becoming an object of joke every where!!!!!!!!!!! kwa mliopoteza muda wenu kupanga foleni kupiga kura poleeeeni saaana!!
hatukupoteza muda wewe ndio ulipoteza haki yako, tulichagua sauti yetu ikasikika kila kona na leo tunatembea vifua mbele hata kama hatukutangazwa washindi
 
Back
Top Bottom