Elections 2010 JK Hana Ubavu Wa Kumwacha January Makamba Uwaziri

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
KJ hana ubavu wa kuacha kumteau January Makamba kuwa Waziri kamili au Waziri Mdogo:

Najua JK akiona hii atakasirika sana, hapendi kuonekana anafanya kama mnavyotarajia.

Atamteua January kwa sababu zifuatazo:

1. Kurejesha fadhila kwa siasa za mzee Makamba wakati wa Kampeni
2. January kumsaidia katika uandaaje wa Mabango ya Kampeni kupitia mbinu chafu
3. January kumsaidia kumjibia JK juu ya kashfa ya familia ya Lockfeller ya matumizi mabaya ya misaada
4. Kutimiza wito wa Makamba kuwa atashangaa sana kama January asipopewa Uwaziri
5. January amekuwa msaidizi wa JK na hivyo wanafahamiana na history inaonyesha kuwa ukiwa karibu na JF lazima akutendee wema wa aina hii.

Asipomteua namwomba Maxence aje achukue $ 100 kama mchango wangu JF kwa mwezi November . . . . . Haaa haaaa . . .
 
Na katika timu ya kuchakachua matokeo, bila ya shaka alikuwa namba 6 na ile timu ya Upanga.
 
KJ hana ubavu wa kuacha kumteau January Makamba kuwa Waziri kamili au Waziri Mdogo:

Najua JK akiona hii atakasirika sana, hapendi kuonekana anafanya kama mnavyotarajia.

Atamteua January kwa sababu zifuatazo:

1. Kurejesha fadhila kwa siasa za mzee Makamba wakati wa Kampeni
2. January kumsaidia katika uandaaje wa Mabango ya Kampeni kupitia mbinu chafu
3. January kumsaidia kumjibia JK juu ya kashfa ya familia ya Lockfeller ya matumizi mabaya ya misaada
4. Kutimiza wito wa Makamba kuwa atashangaa sana kama January asipopewa Uwaziri
5. January amekuwa msaidizi wa JK na hivyo wanafahamiana na history inaonyesha kuwa ukiwa karibu na JF lazima akutendee wema wa aina hii.

Asipomteua namwomba Maxence aje achukue $ 100 kama mchango wangu JF kwa mwezi November . . . . . Haaa haaaa . . .

Kwani ni vibaya jamani akimteua kuwa waziri? Si niliwahi kusoma humu pia kuwa anategemewa kuwa Rais siku za usoni kwa kuwa ni kiongozi wa new generation wenye vision? Jk hatalipa fadhila mwaya ni kijana mwenyewe anweza kuwa ni mchapa kazi.
 
rais wa bendi au?labda awe rais wa FM Akademia
 
Tutafika kweli kama kila aliyeonyesha kukusaidi (tena wengine kiunafiki??) lazima umlipe fadhila kwa kodi za watanzania maskini?
 
kj hana ubavu wa kuacha kumteau january makamba kuwa waziri kamili au waziri mdogo:

Najua jk akiona hii atakasirika sana, hapendi kuonekana anafanya kama mnavyotarajia.

Atamteua january kwa sababu zifuatazo:

1. Kurejesha fadhila kwa siasa za mzee makamba wakati wa kampeni
2. January kumsaidia katika uandaaje wa mabango ya kampeni kupitia mbinu chafu
3. January kumsaidia kumjibia jk juu ya kashfa ya familia ya lockfeller ya matumizi mabaya ya misaada
4. Kutimiza wito wa makamba kuwa atashangaa sana kama january asipopewa uwaziri
5. January amekuwa msaidizi wa jk na hivyo wanafahamiana na history inaonyesha kuwa ukiwa karibu na jf lazima akutendee wema wa aina hii.

Asipomteua namwomba maxence aje achukue $ 100 kama mchango wangu jf kwa mwezi november . . . . . Haaa haaaa . . .

haina shida kama ni mchapakazi jamani msiangalie ya baba mkamjumlisha na mtoto
 
Hakika atamchagua. Tena kwa kisingizio cha damu changu na mpya. Kwamba lazima Baraza lake liwe na vijana.

Please watch your keyboard!

Well - Baraza la Mawaziri la JK lazima liwe na "damu changa"!
1. January Makamba
2. Nchimbi (The fake Dr.)
3. Ngereja (Mzao wa Rostam)
4. and all the shi**!
5. and all the smal* ho***!
 
Mi naombea sana amchague kwani adui muombee njaa... Akimchagua ajue anatufagilia njia ya kwenda ikulu 2015 bila jasho...
 
Kwa nchi makini huyu hata ukatibu kata hafai.

Kwa msaada wa Jonny Thakkar in The Withering of Narcissus; Playing Tyrant on the Internet.

"Internet commentators seem to sense that their anonymity is a double-edged sword. Granted, it enables you to say what you like with impunity. But the trouble with being invisible is that you're invisible. You get no recognition for your actions, no credit for your insights. To go back to Plato's example [Plato asked a question: what if you had a ring that would make you invisible whenever you wanted? Would it still be best for you to behave morally?], even if you did have the ring, wouldn't you want to take it off now and again? How else to enjoy your coronation ceremony? Or pose for your official portrait? If you couldn't remove the ring, you would forever be a non-entity."
 
Kwa msaada wa Jonny Thakkar in The Withering Narcissus; Playing Tyrant on the Internet.

Internet commentators seem to sense that their anonymity is a double-edged sword. Granted, it enables you to say what you like with impunity. But the trouble with being invisible is that you're invisible. You get no recognition for your actions, no credit for your insights. To go back to Plato's example [Plato asked a question: what if you had a ring that would make you invisible whenever you wanted? Would it still be best for you to behave morally?], even if you did have the ring, wouldn't you want to take it off now and again? How else to enjoy your coronation ceremony? Or pose for your official portrait? If you couldn't remove the ring, you would forever be a non-entity."

Kwi kwi kwi..

Mazee nilijua tu utakuja.

Hiyo elimu ya Plato wapelekee kwanza wakubwa wako huko chamani nadhani they have serious work ahead to fill-out wananchi's expectations.
 
Kwani si baba keshatoa oder na Kijana JK anatakiwa kufuata kama baba makamba alivyosema au hakusema et Ja selemani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom