Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
KJ hana ubavu wa kuacha kumteau January Makamba kuwa Waziri kamili au Waziri Mdogo:
Najua JK akiona hii atakasirika sana, hapendi kuonekana anafanya kama mnavyotarajia.
Atamteua January kwa sababu zifuatazo:
1. Kurejesha fadhila kwa siasa za mzee Makamba wakati wa Kampeni
2. January kumsaidia katika uandaaje wa Mabango ya Kampeni kupitia mbinu chafu
3. January kumsaidia kumjibia JK juu ya kashfa ya familia ya Lockfeller ya matumizi mabaya ya misaada
4. Kutimiza wito wa Makamba kuwa atashangaa sana kama January asipopewa Uwaziri
5. January amekuwa msaidizi wa JK na hivyo wanafahamiana na history inaonyesha kuwa ukiwa karibu na JF lazima akutendee wema wa aina hii.
Asipomteua namwomba Maxence aje achukue $ 100 kama mchango wangu JF kwa mwezi November . . . . . Haaa haaaa . . .