Watanzania Waliosimami Uchaguzi Wanasema Hadharani JK Hakushinda Kwanini Tunamwacha Anendelea Kukaa Ikulu? Tuache Kuwa na Uogo na Kukubali Kubuluzwa Kila Siku. Hawa CCM Wanangalia Joto la Nchi na Wanajua Kabisa Wananchi Hawawapendi, Kitu Gani Tunasubiri Kuwaondoa? Maofisa Huko Usalama Wataifa Wanasema Hizi Habari na Wengi Wanajua Jinsi Gani Kura Zilipigwa na Makamba na Kundi Lake Wakageuza Kumpa JK. Hivi Tunadiscuss Hii Article ya Tanzania Daima, Kuna Vita Vikubwa Ndani ya Usalama wa Taifa na Maofisa Walioona Matokeo Toka Kwenye Majimbo Tanzania Nzima Wanajua Kura Zilikuja Akiwa Dr Slaa Anaongoza na NEC Wakachukua Siku Kadhaa Kuzibadilisha. Kitu Kinachosubiriwa ni Hiki "Ndani ya Serikali Kuna Uvutano Nani Aongoze Huu Uchunguzi Kwamba JK Hawezi na Hana Mamlaka ya Kuteua Tume ya Kuchunguza NEC Tena" Dr Slaa na Chadema Hawataki Kuja Hadharani Kuleta Huu Ushahidi Ila Wanategemea Wananchi Wenye Nguvu na Kuorganize Maandamano Makubwa Kupinga Uchaguzi Ndipo Pressure Itapanda Kumfanya JK Kuanguka Tena. Jeshi na Vyombo vya Usalama Wanasubiri Orders Kweli Hawataki Kuingilia Hili kwa Sasa. Pia Tunaona Ndani ya CCM, Wananchi Wapenda Nchi Hawataki na Hawapendi JK Alichokifanya Hasa Makamba. Leteni Habari Tuzichambue na Kuwapa Nguvu Wananchi. Mwisho wa CCM Sio 2015 ni Miezi Imebaki...
Chadema Wanachokifanya ni Very Technical na Wengi Nchini Hawajui Nini Dr Slaa Anakifanya Hii Ndio Tunakiita Leadership. Don't Count Out Chadema They are So Strong Inside and Outside the Country"
Chadema Wanachokifanya ni Very Technical na Wengi Nchini Hawajui Nini Dr Slaa Anakifanya Hii Ndio Tunakiita Leadership. Don't Count Out Chadema They are So Strong Inside and Outside the Country"