Jk hakushinda na ushahidi upo. Wananchi jk sio rais wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk hakushinda na ushahidi upo. Wananchi jk sio rais wa tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 18, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watanzania Waliosimami Uchaguzi Wanasema Hadharani JK Hakushinda Kwanini Tunamwacha Anendelea Kukaa Ikulu? Tuache Kuwa na Uogo na Kukubali Kubuluzwa Kila Siku. Hawa CCM Wanangalia Joto la Nchi na Wanajua Kabisa Wananchi Hawawapendi, Kitu Gani Tunasubiri Kuwaondoa? Maofisa Huko Usalama Wataifa Wanasema Hizi Habari na Wengi Wanajua Jinsi Gani Kura Zilipigwa na Makamba na Kundi Lake Wakageuza Kumpa JK. Hivi Tunadiscuss Hii Article ya Tanzania Daima, Kuna Vita Vikubwa Ndani ya Usalama wa Taifa na Maofisa Walioona Matokeo Toka Kwenye Majimbo Tanzania Nzima Wanajua Kura Zilikuja Akiwa Dr Slaa Anaongoza na NEC Wakachukua Siku Kadhaa Kuzibadilisha. Kitu Kinachosubiriwa ni Hiki "Ndani ya Serikali Kuna Uvutano Nani Aongoze Huu Uchunguzi Kwamba JK Hawezi na Hana Mamlaka ya Kuteua Tume ya Kuchunguza NEC Tena" Dr Slaa na Chadema Hawataki Kuja Hadharani Kuleta Huu Ushahidi Ila Wanategemea Wananchi Wenye Nguvu na Kuorganize Maandamano Makubwa Kupinga Uchaguzi Ndipo Pressure Itapanda Kumfanya JK Kuanguka Tena. Jeshi na Vyombo vya Usalama Wanasubiri Orders Kweli Hawataki Kuingilia Hili kwa Sasa. Pia Tunaona Ndani ya CCM, Wananchi Wapenda Nchi Hawataki na Hawapendi JK Alichokifanya Hasa Makamba. Leteni Habari Tuzichambue na Kuwapa Nguvu Wananchi. Mwisho wa CCM Sio 2015 ni Miezi Imebaki...
  Chadema Wanachokifanya ni Very Technical na Wengi Nchini Hawajui Nini Dr Slaa Anakifanya Hii Ndio Tunakiita Leadership. Don't Count Out Chadema They are So Strong Inside and Outside the Country"
   
 2. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Big up
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  big crap.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  siajelewa kabisa

  kha...
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  overall conclusion "CRAP"


   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The Problem ya Wananchi Kama Huyu ni Bado Upo Ufungwani na Utumwa na Kuto Kuwa Huru Kimawazo. Si Shangai Hata Wananchi Wanaokwenda Kumsikiliza JK Akiongea Hadharani ni Kwa Sababu Gani. Wananchi Wangapi Tanzania Wanajua JK Alishinda? Tufanye Kura za Maoni Kuangalia Wangapi Wanaamini JK Alishinda Huu Uchaguzi. Kama JK Alishinda Kwanini CCM Hamtaki Kuruhusu Kuundwa kwa Commission ya Kuchunguza Uchaguzi Huu 2010? Hii Commission Itoe Wawakilishi Kutoka Kila Chama. Kwanini Kura za Wananchi Zimekuwa Siri? Tangu Lini Uliona Viongozi Wanao Gombea Wanasimamia Uchaguzi? Nyie Ndio Mnawaambia Wananchi Hakuna Haja ya Katiba Mpya Tanzania. Kweli Kudiscuss Kitu Chochote na Vichwa Maji ni Bure ila Inatubidi Tuishi na Nyie Hatuna Jinsi. Watanzania Wanaongozwa kwa Mabavu Hakuna Haki na Mnafikiri Mtatundesha Milele? Wakati Umefika na JK Lazima Aondolewe Madarakani na Aame Ikulu. Tanzania Inaraslimali za Kutosha Milioni 43 na Hakuna Haja ya Tanzania Kuwa Katika Hii Mbaya ya Uchumi na Umaskini.

  "Watanzania Hatutaki Playbook za Mugabe Tanzania"
   
 7. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  absolutely this hasto come out from us wananchi jamani.
   
 8. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nyooo! wewe wa kuelewa?
   
Loading...