JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
Anaweza kuwafutia uraia au kuwapeleka uamishoni ama kuwaua,lakini kama hawezi kufuta mawazo yao kwenye jamii ya watanzania!!!

kutokuwepo kwa watu ao ndani ya nchi hii patatulia sana ata kama wakiwa wanataka kuendeleza harakati wakiwa nje ya nchi lakini haitakuwa na mtikisiko mkubwa kama wakiwa ndani ya nchi....mfano ni kwenye nchi ya Nigeria ambapo mkufunzi na mtunga vitabu mashuhuri W. soyinka alilazimishwa kwenda ughaibuni na general Abacha, pia mtawala huyu pia akampoteza KEN Sarowiwa ndio nchi ya Nigeria ikatulia ndio na JK akitaka utawala wake usianguke ni lazima awatoe ndani ya ardhi yetu watajwa katika kuyumbisha serikali.
 
Nchi itatawalika kama akifuta wakwake (JK), na kitakachofanya Nchi ipendeze ni HAKI si kingine, imeandikwa "Haki huinua taifa...."
 
Anahatarisha usalama kwa kuwalinda mafisadi ambao ndio wanaohatarisha siha na hali ya watz. Wwe hilo hulijui. Amani ipo ndani ya haki tu, nje ya hali mmejaa uhasama na uadui baba!
 
haiwezekani watu wamtishe rais wa nchi mpaka apate presha kisha asiwachukulie atua yeyote, siku moja rais anaweza kufa kwa presha kisa watu wanaotaka serikali yake isitawalike .
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Kwani hivi sasa anayo magonjwa ya moyo! Anyway, maisha bora yatakuja kwa kila mtu kutimiza wajibu, kuachana na usanii pamoja na ufisadi!
 
Godwine katokea wapi tena?maana kama ana mawazo hayo basi amechanganyikiwa na pilau la xmass,hivi unadhani kuwafukuza hao hata kama ingeliwezekana ndio suluhisho,na kama ni suluhisho je ni kwa muda gani?au ni kupisha tu kipindi cha JK kipite?maana ukombozi wa nchi hii ya Tanganyika/Tanzania si wa Dr Slaa tu wako wengi tayari umeshaanza kuwa ukombozi wa kifikra ambao unasambaa kwa kasi miongoni mwa watanzania,sasa leo mwambie JK wako awafukuze kabla hawajafika waendako watakuwa wameshaibuka wengine watano wa aina ya Mnyika,Dr Slaa na wengine je nao mtawafukuza?
Makaburu walichagua kifungo cha maisha kwa mandela mwisho wa siku akakaa gerezani miaka 25 akatoka na akatawala nchi,na wakati akiwa gerezani harakati za ukombozi dhidi ya makaburu hazikukoma.sasa hayo mawazo ongezi bidii tuone yatawafikisha wapi.Na hivi kumbe nchi hii haitawaliki?
 
....Usalama wa nchi unahatarishwa zaidi na Kikwete kuliko unavyohatarishwa na Mbowe, Slaa, Zitto, Lema, Shivji, Mnyika, Pengo na hao wengine uliowataja.

stil comfuzed, Pengo nae mwanasiasa?! anahusika vipi hapo?! Wish I could know..
 
Hamna chochote hawa hawatishiii kitu hukumbuki usemi kuwa panya hawezi mtishia paka. hao wana piga kelele tu kwa maslahi yao, tunajua na wenzewe wanajua kua chama chenye maslahi kwa wananchi ni ccm pekee. thats y wakisha shindwa huko waendako wana rudi ccm.maana mtoto mpotevu anapoamua kurudi nyumbani lazima apokelewe na mzazi mwenye hekima. so one day watarudi to ccm is the no. one
 
Nimepitia kila kifungu katika katiba ya sasa nimekosa sehemu inayompa nguvu rais kumfuta mtu uraia hivyo ni wakati wa kuingiza kifungu hicho kwenye katiba mpya....watu ni wabaguzi sana kuna kipindi walikuwa wakisema rais mfute uraia Rostam wote tukaungana mkono. Iweje leo tukishauri kuwafuta mkono akina dr slaa, mboe,zitto ,shivji , pengo na mnyika watu wanasema kusiwe na sheria hiyo?

Mimi naendelea jk kama unataka usiwe na mapigo ya moyo na serikali yako itawale kwa amani na pasipo na magonjwa ya moyo basi ni wakati wa kutunga sheria hiyo na kuwafuta uraia watajwa hapo juu.

Je sheria ya kufuta watu uraia inaumuhimu kiasi gani?.
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Gondwine, hebu tuelekeze jinsi Rais anavyoweza kufuta uraia wa hao uliowataja. Katika Katiba tuliyorithi kwa wakoloni ni wapi ambapo panampa uwezo Rais kufuta uraia wa "mzawa" yaani raia ambaye vizazi na vizazi vya ukoo wake walikuwa ni raia.

Labda warudi tumboni mwa mama zao kisha naye mama arudi tumboni mwa mama yake naye mama yake arudi tumboni mwa mama yake vivyo hivyo katika ukoo huo halafu uwatafutie nchi wakazaliwe huko. Lakini kwa kauli yako hiyo jambo hilo ni rahisi kwa raia wa kuandikishwa kama hawa akina Patel.
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

kama hauna malaria basi una ugonjwa sugu kama sio basi utapiamlo, kama sio basi kifadulo kama sio basi umezaliwa feb 29 yani hujitambui kama sio basi umesoma shule za kata kama sio basi unafanya kazi ya kuzoa taka kama sio basi unaugonjwa wa masika, kama sio basi wewe ni mfu na hujitambui unaaanguka lini!mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika ugoro kama huu, mara mia nikutane na kinyesi kwenye njia lakini sio wewe!
 
Watu wanasema lakini hawafahamu nguvu za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, unadhani kama akiamua ni nani ambaye anaweza kusimama na kupambana na rais au unadhani kuwa na uhuru wa kutuma maoni katika JF ndio kuwa na nguvu za dola.

Msijidanganye na narudia Tena msidanganyike rais akiamua anaweza watia gerezani wote ao akini dr slaa, mnyika , lema ,pengo malasusa , mokiwa na shivji muda wote akitaka.

Kwani walipomtia ndani Lema nini kilitokea, Mboe nae alipotiwa ndani nini kilitokea, Mokiwa nae alipokuwa akitafutwa na polisi si alijisalimisha mwenyewe , sasa mnapopiga kelele kwenye jukwaa hili mlizuia Mboe kutiwa ndani au dr slaa na kesi zake si zipo mahakamani unadhani rais akitia mkono wake si anaozea magereza na nyinyi mtabaki tukana na kupiga kelele kwenye majukwaa tu kama JF.

Rais akiamua anawafanya chochote watajwa hapo juu, anaweza kuwakimbiza nchi au ata kuwafunga au angekuwa muuaji angewapiga sumu kama wengine wanavyopigana sumu.

Rais Kikwete kama unataka nchi itawalike kwa amani basi wafukuze watajwa hapo juu la sivyo watakusumbua kipindi chote cha utawala wako....watu gani kila mara wanaendesha maandamano na kuchochea migomo

Jamani tuache ushamba, just think of Arab Countries pamoja na nguvu walizokuwa nazo marais wao mob justice is an overall. Inaonyesha Gondwine hujui Katiba.
 
watanzania waliomkataa JK na ambao hawamkubali mpaka sasa ni zaidi ya 75% ya watanzania wote kama ananataka atawale atakavyo basi awafutie uraia wao wote hawa
Si matani, unajua hawa wenzetu wanafikiria kwamba mtu akikupinga basi umtupie majini afe, sasa labda angepata picha ya 75% ya wa-Tanganyika ni watu wangapi, badala ya kufanya kazi zao vizuri wanafikiria kudumbukiza rongorongo tu fitna nani amchukie nani, nani yupo karibu na 'rais' yaani uchafu uchafu tu! Huu ndo ukweli, better feel it!
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Hii ndio kauli ya kipumbavu kabisa niliyowahi kuisikia mwaka huu wa 2011
 
Watu wanasema lakini hawafahamu nguvu za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, unadhani kama akiamua ni nani ambaye anaweza kusimama na kupambana na rais au unadhani kuwa na uhuru wa kutuma maoni katika JF ndio kuwa na nguvu za dola.

Msijidanganye na narudia Tena msidanganyike rais akiamua anaweza watia gerezani wote ao akini dr slaa, mnyika , lema ,pengo malasusa , mokiwa na shivji muda wote akitaka.

Kwani walipomtia ndani Lema nini kilitokea, Mboe nae alipotiwa ndani nini kilitokea, Mokiwa nae alipokuwa akitafutwa na polisi si alijisalimisha mwenyewe , sasa mnapopiga kelele kwenye jukwaa hili mlizuia Mboe kutiwa ndani au dr slaa na kesi zake si zipo mahakamani unadhani rais akitia mkono wake si anaozea magereza na nyinyi mtabaki tukana na kupiga kelele kwenye majukwaa tu kama JF.

Rais akiamua anawafanya chochote watajwa hapo juu, anaweza kuwakimbiza nchi au ata kuwafunga au angekuwa muuaji angewapiga sumu kama wengine wanavyopigana sumu.

Rais Kikwete kama unataka nchi itawalike kwa amani basi wafukuze watajwa hapo juu la sivyo watakusumbua kipindi chote cha utawala wako....watu gani kila mara wanaendesha maandamano na kuchochea migomo

Hizi sikukuu zingine bwana sijui watu huwa wanakula nini. Hivi katika zama hizi mtu anaweza kweli kufikiria hivi?
 
Jamani tuache ushamba, just think of Arab Countries pamoja na nguvu walizokuwa nazo marais wao mob justice is an overall. Inaonyesha Gondwine hujui Katiba.
Eh, huyo Godwine sijui ni wawapi! i wish tusinge mjibu, i hope he is an illiterate chap, tryn' ruin peoples minds, why can't he constructive? Tafuta suluhisho la matatizo, ushahidi upo wazi, kuna vacuum ktk uongozi, hat Lowasa alisema! Tatueni matatizo, njia pekee itakayowafukuza 75% ya wa-Tanganyika ni vita, na watakuwa wakimbizi nchi jirani, sasa kama nchi haitawaliki, kati ya wale ambao hawakumchagua na kijikundi chake kidogo, hata ndani ya NEC yake wanampinga, afukuze wote basi! Yeye ndo aachu=ie madaraka kwa sababu kama nchi haitawaliki, nani aliye shindwa kufanya kazi ya utawala kama siyi Kikwete, Tumia logic weye mbiga! Umewahi hata mara moja kuhisi nchi haitawaliki kipindi cha marais wengine?
 
kwa asilimia hiyo uliyoitaja kama ingekuwa kweli basi ingeonyeshwa na idadi ya wawakilishi waliochaguliwa na watu ao na pia kama kutakuwa na watu zaidi ya 75% wanapiga kelele tu bila kupiga kura kwenye Chaguzi basi watu ao watakuwa wanafanana na Mbuzi ambao wanalia tu lakini hawawezi kutafuta haki yao.

kwahiyo mnataka kuniambia nyinyi asilimia 75% mmelala usingizi siku ya kupiga kura na mkachaguliwa kiongozi na asilimia 25%, nyinyi ni majitu ya ajabu sasa ngoja tuwafundishe kazi kwa kuanza kuwakimbiza wenye mbwa ugenini kabla ya kuanza kuchinja mbwa mliobakia
 
Jamani tuache ushamba, just think of Arab Countries pamoja na nguvu walizokuwa nazo marais wao mob justice is an overall. Inaonyesha Gondwine hujui Katiba.

​Wacha kabisa kujilinganisha na waarabu kwa kila kitu kwani wao ni majasiri katika kupambania haki lakini sisi ni mashuhuri kupiga kelele na kutukana kwenye vyombo vya habari tu, ukifika wakati wa kupiga kura mnaenda kunywa gongo matokeo yakitoka mnalia mmeonewa nyinyi ni watu wa ajabu sana. ndio maana tunaanza kuwatimua mmoja mmoja kuanzia viongozi na kumalizia wale wabishi. Hakuta kuwa tena na peoples poweeeeeeeeeeeeer
 
umesahau jina la baba yako na la mama yako

Unaweza kukuta ata wewe ni mwanachama wa Chadema watu kama nyinyi ndio mnapunguza watu wenye heshima wasiendelee kujiunga chadema. kwenye katiba mpya lazima tuweke masharti makali kwa wahuni kama wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom