kwa maoni yangu timu ya taifa kuitwa jina la mheshimiwa ni kujidhalilisha. kwani hajafanya kweli katika mapigano dhidi ya rushwa.ni sifa asiyostahili. ni waandishi wa habari mliobatiza jina hilo tunaomba mliondoe.