Elections 2010 JK bado kura hazitoshi Mbeya

Kwa Kyela hauna haja ya Data bse JK aliwadharau kwa kuendelea kumweka madarakani Mwakipesile na walimwambia live ukimtoa kura utapata
 
Mkuu,

Sio kweli, JK anaongoza Kyela na pia wilaya ya Rungwe na Ileje.

Nimeambiwa CCM wako hoi wilaya ya Mbeya. Sina taarifa na wilaya zingine.
Mkuu nimetoka kusikiliza Magic FM sasa hivi, Musiba pamoja na kuwa kada wa CCM
amekiri kuwa shughuli ni pevu.ndugu Mwakalile mtumishi wa taasisi moja inayohusika na maswala ya haki za binadamu aliyeko Tukuyu ameongea kwa simu na Magic FM akatoa general overview(kwakuwa matokeo halisi bado kutangazwa na tume) kuwa JK anapumulia mashine Rungwe na Kyela.
 
Jamani msiwe mnarush tu na kuweka tetesi. DATA zinaspeak louder than mere words!
 
Kwa Kyela hauna haja ya Data bse JK aliwadharau kwa kuendelea kumweka madarakani Mwakipesile na walimwambia live ukimtoa kura utapata

Nimeongea na sosi yangu ya kuaminika na imethibitisha pasi na shaka kuwa KYELA YOTE IMEMPIGA CHINI VASCO DA GAMA. VIVA wana Kyela, VIVA CHADEMA, VIVA DR. SLAA.

.
Hakika Bwana Mungu amedhamiria kutupa raha nafsini mwetu.
 
Shule ya msingi sisimba mbeya. Karatasi ya kwanza Slaa 125 Jk 82. Karatasi ya pili Slaa 107 Jk 68
 
Nimeongea na sosi yangu ya kuaminika na imethibitisha pasi na shaka kuwa KYELA YOTE IMEMPIGA CHINI VASCO DA GAMA. VIVA wana Kyela, VIVA CHADEMA, VIVA DR. SLAA.

Mkuu,

Tusiwe tunapotosha watu. Kyela JK kashinda kwa asilimia 75, hiyo ni confirmed.
 
Mkuu nimetoka kusikiliza Magic FM sasa hivi, Musiba pamoja na kuwa kada wa CCM
amekiri kuwa shughuli ni pevu.ndugu Mwakalile mtumishi wa taasisi moja inayohusika na maswala ya haki za binadamu aliyeko Tukuyu ameongea kwa simu na Magic FM akatoa general overview(kwakuwa matokeo halisi bado kutangazwa na tume) kuwa JK anapumulia mashine Rungwe na Kyela.

Mzittokabwela,

Nina uhakika na Kyela JK ameshinda vizuri sana (asilimia 75), mbunge kashinda kwa asilimia 90. Madiwani mpaka sasa CCM wamechukua viti vyote kasoro kiti kimoja cha Ipinda.

Ila CHADEMA wamepata kura nyingi sana Mbeya Mjini na Slaa kaongoza kwa mbali.

Unajua kuna watu sio makini na wakisikia ya mitaani ndio hayo hayo wanajibu wakiulizwa.
 
kituo cha sokoni maghorofani (bot). Karatasi ya kwanza Slaa 108 Jk 73. Karatasi ya pili. Slaa 113 Jk 69. Karatasi ya tatu. Slaa 117 Jk 56. Sugu anaongoza kote sisimba na maghorofani. Haya ndio malipo ya machozi waliyotoa wanambeya juzi baada ya kupigwa mabomu bila kosa lolote.
 
Back
Top Bottom