Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Mkwere ana hali Mbaya Rungwe Mashariki & Magharibi pamoja na Kyela
Mkuu,Mkwere ana hali Mbaya Rungwe Mashariki & Magharibi pamoja na Kyela
Mkuu nimetoka kusikiliza Magic FM sasa hivi, Musiba pamoja na kuwa kada wa CCMMkuu,
Sio kweli, JK anaongoza Kyela na pia wilaya ya Rungwe na Ileje.
Nimeambiwa CCM wako hoi wilaya ya Mbeya. Sina taarifa na wilaya zingine.
Kwa Kyela hauna haja ya Data bse JK aliwadharau kwa kuendelea kumweka madarakani Mwakipesile na walimwambia live ukimtoa kura utapata
Nimeongea na sosi yangu ya kuaminika na imethibitisha pasi na shaka kuwa KYELA YOTE IMEMPIGA CHINI VASCO DA GAMA. VIVA wana Kyela, VIVA CHADEMA, VIVA DR. SLAA.
Nimeongea na sosi yangu ya kuaminika na imethibitisha pasi na shaka kuwa KYELA YOTE IMEMPIGA CHINI VASCO DA GAMA. VIVA wana Kyela, VIVA CHADEMA, VIVA DR. SLAA.
Mkuu nimetoka kusikiliza Magic FM sasa hivi, Musiba pamoja na kuwa kada wa CCM
amekiri kuwa shughuli ni pevu.ndugu Mwakalile mtumishi wa taasisi moja inayohusika na maswala ya haki za binadamu aliyeko Tukuyu ameongea kwa simu na Magic FM akatoa general overview(kwakuwa matokeo halisi bado kutangazwa na tume) kuwa JK anapumulia mashine Rungwe na Kyela.
Ikiwa huna takwimu hata 1, ondoa umbeya wako huu.Mkwere ana hali Mbaya Rungwe Mashariki & Magharibi pamoja na Kyela