JK azindua kitabu cha wasifu wake!!!!

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .

Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...

Source:MICHUZI
 
Atasoma yeye na ndugu zake. Kafanya nin cha maana hadi kitabu kiandikwe?

Ana vingi vya kuandikwa juu ya wasifu wa maisha yake.

Kwa ufupi, he is a born leader, kuanzia shule mpaka kuwa Rais wa watu kama wewe, he must be something.

Nakifata nikakinunuwe kabla nakala za mwanzo hazijaisha.
Kalagabaho.
 
Wewe darisalama wala husipate tabu kukitafuta kwa haraka,kwani utakikuta hata ukienda 2020! Hakitanunulika ng'o tena bei yenyewe 25k,imekula kwake. At least kingeuzwa buku,raia wangetaka kuona upupu uliomo kwny hayo makaratasi yaliyounganishwa na kuitwa kitabu!
 
Kuna Prof amekosoa sana kuwa mapungufu hayajaongelewaaa...kabisaa!!!!wameongea positive side tuuu....huyo mhariri ametoa changamoto
 
Alaa, kumbe ana positive side?

Negative wanaiona mahasidi tu.
 
Wewe darisalama wala husipate tabu kukitafuta kwa haraka,kwani utakikuta hata ukienda 2020! Hakitanunulika ng'o tena bei yenyewe 25k,imekula kwake. At least kingeuzwa buku,raia wangetaka kuona upupu uliomo kwny hayo makaratasi yaliyounganishwa na kuitwa kitabu!
kwa sababu ni hakika kimejaa upupu hawezi kuweka bei rahisi maana anaogopa kujipolomosha kabisa mbele ya jamii
 
Sasa tunangoja cha mpiganaji Mbowe! Sijui vita ipi atiandika humo, labda ya kuzuia wanaporushiana chupa pale bili. Aaaah, ataelezea u pro DJ wake.
 
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .

Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...

Source:MICHUZI

Watu nao kwakujipendekeza hawajambo. Nyang'oro nae anataka ubunge? hii kali, subirini tu mtasikia.
 
Ana vingi vya kuandikwa juu ya wasifu wa maisha yake.

Kwa ufupi, he is a born leader, kuanzia shule mpaka kuwa Rais wa watu kama wewe, he must be something.

Nakifata nikakinunuwe kabla nakala za mwanzo hazijaisha.
Kalagabaho.

Kama ameelezea jinsi alivyowaacha mafisadi wa EPA, Meremeta, Tangold, Deep Green Finance, etc bila kuwachukulia hatua yoyote kwa kuwa alifaidika na ufisadi huo, nitakinunua!
 
We Kinana vipi? Kuwa na vitu vingi vya kuandika hatukatai, kwa mfano mambo ya boyz 2 men ni moja ya mambo mengi, kuzusha kifo cha Balali vilevile ni moja ya mambo mengi, kuiba pesa za walipakodi BOT ni moja ya mambo mengi, kusafiri sana kama Vasco da Gama ni moja ya mambo mengi.
 
Kamuulize Hosea.
 
Andika chako.
 
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .

Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...

Source:MICHUZI
Nitakinunua siku TOILET PAPER zikiadimika madukani
 
Back
Top Bottom