Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 431
EURONEWS, Shirika la habari lililo na nguvu na linaonekana dunia nzima kuanzia na Ulaya hadi America na Africa limekuwa likionyesha kila baada ya dakika kadhaa Maandamano ya CUF kudai Mabadiliko ya Katiba Tanzania na jinsi FFU walivyotumiwa na Serikali ya JK kwa maguvu-kuyavunja maandamano hayo ya kidemokrasia ambayo ni haki ya raia yoyote aliye huru. Ni Aibu sana na Anguko lingine hili!!
Kwa wafuatiliaje wa Demokrasia ya Taifa hili, hilo ni pigo jingine kwa JK ndani ya muda mfupi kidiplomasia na inaonyesha anavyokwama kuliongoza Taifa, na udhaifu huu sasa unazidi unafichuka kwa dunia nzima kupitia Euronews inavyoonyesha sasa. Kwa wale wanaoweza kutizama Euronews ktk mtandao au ktk dish wataiona hii 'live' ktk 'no comments' edition 30.12.10 inayoendelea sasa!
Naomba kuwasilisha!