Jk awaita yanga ikulu kukagua usajili wake.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk awaita yanga ikulu kukagua usajili wake..

Discussion in 'Sports' started by LUCIFER, Aug 23, 2012.

 1. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Baada ya juz Yanga kuzuru Ikulu kwa Jk,kuna taarifa kuwa mheshimiwa aliwaita ikulu ili akague usajili wake..baada ya hapo ziara hyo yenye sura ya kisiasa iliendelea mpaka Rwanda huku msemaji wa timu akiwa dar akifuatilia tour hio kupitia Facebook...na inahusisha kujenga uhusiano mzur wa kibiashara kati ya SERIKALI YA KAGAME na WAFANYABIASHARA kadhaa ambao ni viongoz wa Yanga ambao hapo nyuma hawakuwa na ushawishi wa kibiashara nchini humo...season 1 Ndo imeanza stay tuned...
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  manji sio mtu mzuri yule
   
 3. j

  joel amani Senior Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kinawauma nini yanga kutinga ikulu? kazi umbea tu,
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  mtaongea sana endeleeni kujifungia msimbazi wakati wenzenu wanavuka mipaka kujitangaza kibiashara.
   
 5. M

  MTUNZA AMANI Senior Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama huna cha kuongea nyamaza,maana Yanga ndo kwanza wamealikwa Rwanda huko kwa jk bado hawajaenda,na pili kagame ndo mdhamin wa kagame cup hivo siyo tatizo kuwaalika mabingwa waloshinda mfululizo hata kama Simba angeshinda angealikwa,hakuna uhusiano hata kidogo kati ya siasa na soka,hizo taarifa muwe mnazipeleka kwenye magazeti ya udaku,au kwnye mipasho siyo humu jamvini kwa magreat thinkers.
   
 6. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  kudaaadeki,wasio soma ni chakula cha wasomi,kula hyo bamutu bayanga manji bako bana penda bya bure sana.
   
 7. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Wapi wewe kwan KAGAME kaanza kuyadhamin haya mashindano lini....miaka yote hiyo hakukuwa na washindi?same aplies to DHAIFU JK
   
 8. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  unategemea kikwete afanye nn kama si hayo, anapenda sherehe na makongamano,
   
 9. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  8.JPG ni biashara au biashara haramu?
   
 10. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamekwenda Rwanda na mipira mipya mingi sana, sijui watarudi nayo.
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  nje ya kila Watanzania 5,000,000 huenda ni 10 (kumi) tu wanaoweza kukuelewa unachomaanisha kwa sasa lakini baada ya miaka kumi idadai ya watakaokuelwa itaongezeka!
   
 12. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Simba wanatilisha huruma sana ,ona wanavyotapatapa!Na bado mtatujua vizuri mwaka huu!
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  kuliko mzee wa bastola.
   
 14. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Achana nao hao cry babies.
   
 15. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Team ya Wananchi
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  kweli nimeamini kuwa wewe ni lucifer ( mkuu wa mapepo )
   
 17. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Mwenyekiti akiwa mwanasiasa,timu inakua ya kisiasa.Mwenyeki akiwa mfanyabiashara timu inakuwa ya kibiashara pia.ACHA WANASIASA WAPIGE DOMO
   
 18. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mimi ningekuwa RAGE ningeipeleka SIMBA somalia KUDADEKI.
   
 19. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuwapeleka Somalia? Kwa fitna za Yanga lazima watawaibia Simba pasi za kusafiria.Jifunze kwa Mbuyi (Mbuyu?) Twite (Twitter?) .Kisa? 5-0!
   
 20. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  na hata wewe ni MFUASI WANGU
   
Loading...