crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,130
- 721
Ndugu zangu, muwe mnasoma vingnevyo mtakuwa mna-argue kama watu wa vijiweni. Rais ana mamlaka hayo chini ya ibara ya 45(1)(a-d) na siyo ibara ya 15(1)(c) kama mnavyotaka kuwaaminisha watu. Kuhusu busara gani imetumika, hiyo hakuna mtu anayeweza kumsemea rais. Yeye mwenyewe ndo anaejua. Hata angemwachia Babu sewa, wapo watu wangehoji busara gani imetumika!! Kifupi ni kuwa, mamlaka anayo kikatiba na ameyatumia. Ombi langu. Someni. Ushabiki wa vijiweni acheni. Kwenye siasa tuongee siasa, na kwenye utaalamu tuongee kitaalamu. Otherwise, tutashusha hadhi ya Jf
Baba, hiyo nimeicopy kwenye gazeti la Mwananchi kama taarifa iivyoandikwa leo hii. Na kazi yangu ya kusoma nimeifanya maana nina imani gazeti linahaririwa hivyo usikimbilie kunishambulia. Lingine baba yangu mbona mie sijaongelea issue ya babu Seya? Ushabiki gani uliouona katika mawazo yangu hebu kuwa specific. Kwa vile mwenendo mzima wa Kifo cha kombe ulikuwa wa utata, huoni baba kuwa jambo hili linazua maswali mengi?