Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zake kwa kuchukua kimeo. Nasikia Omar Konare hataki hata kusikia habari za AU. Viongozi wa AU walipomshawishi aongeze muda, aliwajibu kuwa hawako serious na yeye binafsi hana muda mwingine wa kupoteza Addis Ababa. Sasa wakati wenzetu wanaona kuwa AU si kitu cha kujivunia, inawezekana kabisa sisi tukaufanya kama mtaji wa kukwepea kashfa za BOT na Richmond.
Wamtafute mbongo yeyete CCM atachukua hiyo post. Then atawaliza kama mama Mongella!!! Watanzania pekee ndiyo wanamuda wa kupoteza hata kama kazi haina kichwa wala miguu provided kuna pesa na wana nafasi ya kufanya ufisadi wao!!!
mafanikio awamu ya nne
asha rose un
lipumba un
mongella au
kikwete au
mnalo
mafanikio awamu ya nne
asha rose un
lipumba un
mongella au
kikwete au
mnalo
Katika urais wake AU cha kujiuliza; atatetea vipi scandal inayomkabili Mama Mongella...
SteveD.
Jamani wacheni kuvamia ,maana huyu mtu hotuba yake ya mwanzo pale Bungeni alisema atahakikisha anaumaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar na kujenga matumaini kwa raia wa Zenji kuwa muungwana atafanya kweli ,mpa leo ni matumaini tu,na huko AU ameondokea dau hilo hilo la kurudisha amani ,sasa hayo ya Kenya ambayo ndio kwanza mabichi,ya darfour ambayo UN wameshindwa ,eti si angeonesha angalau amefanikisha hapa Tanzanz ,alafu ndio tukaona atafanya kweli ,huyo atawapiga domokaya na kuwajengea matumaini kibao ,yaani wa AU watajiona ni wakuu wa UN au wa Pentagon kwa matumaini watakayojengewa alafu si wabongo tunajuana kwa kuzuga zuga ,apo Muungwana ameshawateka mawazo akijua wazi mwaka utamaliza akuna cha Kenya wa Darfur bado wakenya wataendelea kuchinjana, ila maesabu ya Muungwana yapo katika makongamano ambayo hana wasi wasi akimaliza Mwaka anaondoka na kitita,ameanza kuwapigia kiluga jamaa wameona huyu ndio kiongozi mzalendo kumbe maesabu mengi tu.nnaaamini mh kikwete atafanya mengi mazuri, nnaamini kwa dhati kikwete ni mtu mzuri na amekuja wakati unaofaa.
ni chaguo jema la afrika na nnaamini atajituma kuhakikisha afrika inasonga mbele na kupitia huko atajifunza kuinua na kuboresha tanzania