JK Awa Rais wa AU

nnaaamini mh kikwete atafanya mengi mazuri, nnaamini kwa dhati kikwete ni mtu mzuri na amekuja wakati unaofaa.

ni chaguo jema la afrika na nnaamini atajituma kuhakikisha afrika inasonga mbele na kupitia huko atajifunza kuinua na kuboresha tanzania


Ni chaguo la Mungu .....umesahau hili...
 
Misele kama kawa itazidi ataenda kusuluhisha hata ambako hakusuluhishiki time clocking
 
Back
Top Bottom