Jk aunga mkono sera ya chadema

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Moja ya sera ya chadema ya kupunguza matumizi iliyokejeliwa sana na CCM ni ya kufuta cheo cha wakuu wa wilaya na mikoa. kuna mikoa na wilaya imekaa mwaka mmoja bila viongozi hawa na hakuna athari. JK hapa anaunga mkono sera ya CHADEMA kwamba hawa watu si muhimu la sivyo angeteua mapema
 
Back
Top Bottom