JK audhuria siku ya JAMUHURI KEnya

collezione

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
352
178
mimi naomba JK apate fundisho kwa wenzetu kwenye siku yao ya JAMUHURI.
wenzetu wameweza kutumia siku hii kutoa mustakabadhi wa nchi,
kwa kuonyesha mafanikio waliyopata, na wapi pakufanyia kazi zaidi.

ila sisi tulionyesha mbwembwe za jeshi, then siku ikaisha. bila hata ya raisi kutoa neno.

hii tunawanyima haki wenzetu ambao hawana elimu na wapo vijijini. kamwe hawawezi kujua mustakabadhi wa nchi yetu,
na kwa kutumia udhaifu huu, CCM inaendelea kutawala kibabe. kwasababu watu wengi hawana elimu ya uraia. na hawajui mustakabadhi wa nchi yao.
wana JF, tafakari hii
 
Jk yeye apenda kuwa mtanashati............afikiria sisi tunataka hilo......bila kutafuta majibu ya matatizo yetu kijamii na kiuchumi.................
 
Back
Top Bottom