Kikwete atua Dodoma na kupokelewa na Hamad Rashid

Status
Not open for further replies.

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
hivi huyu Hamad Rashid ni kiongozi wa serikali au nani?? yaani mi sijamuelewa kabisa...(note:msianze kuniuliza source hapa...na kuattach kwenyewe sijui basi mtamwambia PAW aiweke vizuri bana)
 
anajafanya mazoezi ya kurudi ccm A,anataka mumzoeezoee msije mkapigwa butwaa siku ya siku...swali lako lingekuwa hivi HR ni ccm A? au ccm B?
 
Bila shaka anaenda kutoa shule kwa Wabunge wake kuwapa shule ya kwa nini ameridhia mapendekezo yaliyowasilishwa na vyama na asasi za kijamii. Cha kushangaza ama sielewi Hamadi Rashid kaongoza mapokezi. Ama kakabidhiwa na Makinda kwa muda ama ni harakari za kuhamia CHAMA TAWALA.

Tazama hapa.
IMG_4218.JPG

Rais Jakaya Kikwete akiteta na Mbunge wa Wawi,Hamad Rashid baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo akitokea Mwanza.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

IMG_4221.JPG

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Dodoma akitokea Mwanza.
 
Duuu!! ama kweli siasa si hasa...
ya ngoswe muachie ngoswe..
hamad == shibuda?
 
mi unajua kuna vitu sielewi khee huyu Hamad anampokeaje mwenyekiti wa CCM???
 
HAMAD RASHID sialikua CCM B sasa kwanini asilalamike mbele ya mwenye kiti wao....weunafanya mchezo nini yani MAMA(CUF) akikuwakia siunamshitaki kwa BABA(CCM)....Ila sijajua protocal imekaaje ampaka nae aruhusiwe kumpokea RAIS....Yani ni fujo tupu
 
hamad rashid sialikua ccm b sasa kwanini asilalamike mbele ya mwenye kiti wao....weunafanya mchezo nini yani mama(cuf) akikuwakia siunamshitaki kwa baba(ccm)....ila sijajua protocal imekaaje ampaka nae aruhusiwe kumpokea rais....yani ni fujo tupu
tiss in action
 
Waliokuwa na mashaka na maamizi magumu ya CUF, see with your own eyes!
 
Mwacheni yakhe ! Awasemee walomtenda akina maalim seif kinyume na walivokubaliana na ccm !

Muulizeni alipokwenda pemba peke yake na ndege ya atc nani alilipa gharama za kukodi ndege hiyo ? Si tunavojua atc haiendi pemba ati !

Samaki walana vao kwa vao !
 
nibora akutane na wabunge wake kuliko wadaktari. Hamad rashid kumpokea maswali ni mengi bila majubi ngoja wadadisi wa kisiasa waje watueleze.
 
mi unajua kuna vitu sielewi khee huyu Hamad anampokeaje mwenyekiti wa CCM???

Chezo, Rais ni wa wote jamani. Hata kama unampinga akikuita utakataa kumuona? Au tunasema tu? Wengi tunavijimaneno kibao lakini wakija jamaa wanakuambia JK anataka kukuona kesho utajipaka na kutia perfume ambayo hujawahi kuweka. Tuache usongombika na ukaboka mchizi bure!! Tena JK mbali ukiitwa hata tu na Ngeleja, Lowasa, Rostam au Andrew Chenge wengi tu wataweweseka. Mnalia kila siku ufisadi Mkipewa position ya ulaji tutawaona kimyaaa! hamtasema lolote. Rais hata kama humpendi kwa sera zake bado akitaka kukuona (kama utakuwa na bahati hiyo) utatetemeka tu. Tuheshimu kazi yake japo hatukabaliani na sera za chama chake. Ndiyo rais tutake tusitake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom