JK atoa maana ya demokrasia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK atoa maana ya demokrasia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, May 13, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,475
  Likes Received: 1,777
  Trophy Points: 280
  JK akiongea na mkurungenzi mtawala wa UNDP duniani, Bibi Helen Clark ambaye alimwambia kuwa demokrasia ni wananchi kuwa na uhuru wa kuchagua viongozi wao na sio kukiondoa madarakani chama tawala. Nafikiri huyu mama aliiona hii 'definition' kwenye mazungumzo ya JK. Hivi huyu bwana anafikiri vizuri kweli? Hivi haoni katika kuchagua viongozi wanaotakiwa na wananchi wanakuwemo na wa chama tawala na kama hawachaguliwi si ndio chama tawala kimetoka?

  Nafikiri inabidi aambiwe demokrasia nini. Au apewe kitabu cha civics au GS au DS. Definition ya aina hii utolewa na watu wenye 'hang over' ya ukomunisti uliochanganyika na ujamaa. Kama huyu mama hii ilitoka kwenye mind yake basi hata siasa za New Zeland zitakuwa na shida.
   
Loading...