JK atinga G.Unit

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,020
Nadhani JK ni mshabiki wa 50 cent. Ila sidhani kama hakuna matumizi mabaya ya fedha kwenye hizi safari za nje za JK.
JK na 50 cent.jpg
 
Yaani Mkere anavyojua kutumua kodi za walalahoi! Hebu fikiria matatizo na ukata tulionao yeye anafunga safari kumuona50Cent!
Mnakumbuka alivyokwenda Jamaica akaenda kubembea kwenye Skyline na usiku akahudhuria tamasha la Reggae( ambako ukumbini bangi ni halali!)
 
ha ha ha! Jk ni zaid tumfikiliavyo!
 
Usikute kupiga picha na senti hamsini anaona ujiko regardless ya hadhi yake.
Kweli raisi tunae,usishangae ukija sikia ikulu ikagharamia kumleta Tz uyu jamaa kwenye sherehe za uhuru ambazo bajeti yake itakuwa ni miradi ya watu Tz
 
Back
Top Bottom