Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,012
Haaawapi Photoshop in the work!!Nadhani JK ni mshabiki wa 50 cent. Ila sidhani kama hakuna matumizi mabaya ya fedha kwenye hizi safari za nje za JK.
View attachment 37701
Haaawapi Photoshop in the work!!
Yaani Mkere anavyojua kutumua kodi za walalahoi! Hebu fikiria matatizo na ukata tulionao yeye anafunga safari kumuona50Cent!
Mnakumbuka alivyokwenda Jamaica akaenda kubembea kwenye Skyline na usiku akahudhuria tamasha la Reggae( ambako ukumbini bangi ni halali!)
Craaaap![/QUOTE]
"Crapiest!"
Tingishaaaa!! Kama imekwishaaa..Kama kweli, basi TZ tumepata Raisi Sharobaro. Kula nchi Mkuu wakati ndio huu.