Elections 2010 JK atangaza USHINDI

JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010 Kwa ridhaa ya wananchi wa Tanzania,Mheshimiwa Rais Kikwete umekuchaguilwa katika kipindi kingine cha miaka mitano ya uongozi wa nchi hii,ili kuwatumikia wananchi katika shughuli zao za maendeleo ili kuliendeleza Taifa letu katika karne hii ya Ishirini na moja.Kwa niaba ya Vijana wenzangu wa Tanzania,napenda kutumia fursa hii kukupongeza kwa ushindi wa kishindo,pamoja na kukunakia kheri katika kuliongoza Taifa letu.
 
What kind of misspelings is these? Does he know how to type and how can declare that?

____________________________________________________________________________

Nemo iudex in causa sua
 
JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010 Kwa ridhaa ya wananchi wa Tanzania,Mheshimiwa Rais Kikwete umekuchaguilwa katika kipindi kingine cha miaka mitano ya uongozi wa nchi hii,ili kuwatumikia wananchi katika shughuli zao za maendeleo ili kuliendeleza Taifa letu katika karne hii ya Ishirini na moja.Kwa niaba ya Vijana wenzangu wa Tanzania,napenda kutumia fursa hii kukupongeza kwa ushindi wa kishindo,pamoja na kukunakia kheri katika kuliongoza Taifa letu.

Nasi tunakupongeza RAIS WETU TUNAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KWENYE KIPINDI CHAKO CHA UONGOZI WA 2010-2015, CHAGUO LA WENGI NI CHAGUO LA MUNGU, WASIO LITAKA HILO WAO WALITAKA KUWEKA CHAGUO LA SHETANI.
 
Kwanza, ujumbe wako nina wasiwasi kama atauelewa (endapo atausoma, na nina shaka kama atafanya hivyo) maana umeandikwa kwa makosa mengi sana.

Pili, usirudie kusema unawasilisha ujumbe huo kwa niaba ya vijana wa Tanzania, sema kwa niaba ya vijana wana CCM maana si vijana wote wanampongeza kwa ushindi huo 'wa kishindo' maana hata upatikanaji wa ushindi huo ni 'wa kishindo' na sisi hatupendi hivyo 'vishindo' vyenu!!
 
Na hizi ni kura zake shame on him

Haya ni matokeo yaliyotangazwa na NEC

.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
 
Slaa ameangukia pua...
slaa3.jpg
 
Tusi langu kubwa naona aibu kuliandika hapa nisije nikapata server ban!
 
Nasi tunakupongeza RAIS WETU TUNAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KWENYE KIPINDI CHAKO CHA UONGOZI WA 2010-2015, CHAGUO LA WENGI NI CHAGUO LA MUNGU, WASIO LITAKA HILO WAO WALITAKA KUWEKA CHAGUO LA SHETANI.

Dont and never involve God in this!:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Matokeo yanaendelea ... Makadirio/Wapigaji20,445,725P. Mziray 74,694J. Kikwete 4,252,209 W. Slaa1,602,220 I. Lipumba 640,124 H. Rungwe 16,148 M.MUHANYWA11,357 F. Dovutwa 86,94 Zilizoharibika199,512 Zilizopigwa6,804,959Asilimia waliopiga
Source: Mwananchi Election Editions
 
Nasi tunakupongeza RAIS WETU TUNAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KWENYE KIPINDI CHAKO CHA UONGOZI WA 2010-2015, CHAGUO LA WENGI NI CHAGUO LA MUNGU, WASIO LITAKA HILO WAO WALITAKA KUWEKA CHAGUO LA SHETANI.

Kama siyo mapenzi ya watanzania wengi hatadumu.It's only a matter of time let's leave everything to GOD.Tumefunga,tumeomba tunamwachia Mungu.Kama Mungu hakutaki yeye ana uwezo mkubwa na njia nyingi sana ikiwemo kifo.
 
Back
Top Bottom