JK atajisikiaje mbele ya Watz akirudi Ikulu kwa hela za Wahindi 4? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK atajisikiaje mbele ya Watz akirudi Ikulu kwa hela za Wahindi 4?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 13, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wadau, hili limekuwa linanitatiza sana kuhusu JK, mgombea urais ambaye kutokana na fedha kufuru ya fedha zinazotumika ni dhahiri si fedha zinazochangwa na wananchi masikini, bali mafisadi waliobobea ambao ni wanne tu -- RA, Manji, Subhash na Tanil Somaiya.

  Hivi ikitokea kwamba akatinga Ikulu, hivi kweli hawezi kujisikia guilty conscious ya kuwa karudishwa Ikulu kutokana na hela za mafisadi, na siyo wananchi? INAHITAJI ROHO NGUMU SAANA KUTOJIFIKIRIA HIVYO NA UKAWEZA KU-SMILE MBELE YA WANANCHI!!!
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Atajisikia ninik wakati ni kawaida yake?
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  atakua akicheka cheka tu kama vile anaumwa
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hajaumbwa na aibu hiyo atasmile kama kwa si unajua ni bingwa wa kusmile
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  :preggers::preggers:Huyu mbona mzoefu , kwani mwaka 2005 si ndiyo hao hao waliomwingiza ikulu, yeye kama yeye kichwani hamna kitu, mipango yote walifanya akina RA, EL na mifisadi mingine yeye alingojea kuapishwa tu, Rais wa ukweli kwa miaka 5 hii iliyopita ni RA na EL, mkwere boya tu si ndiyo maana hajawahi kufanya maamuzi yoyote magumu mpaka wastafu wakawa wanamkumbusha.
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Ndiyo kawaida yake, atachekacheka tu kinafiki .....huku akijijua kuwa ni mtu mwovu. Hana aibu yule.
   
Loading...