JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

CCM inapotaka kufanya lake haijali kama kuna baba mkwe wala kumuonea mtu aibu.Wacha CDM waendeleze ufamle na kuogopana.
Kile chama kikongwe wewe, umesikia kumpata mgombea umeya kule Ilemela kupitia CDM? ngoma nzito. SLAA amemtuma msuluhishi, kama mgogoro kama wa SYRIA.
 
anaye jua tafasiri ya maneno haya atupe hapa maana nadhani huu ni unabii kwao

'' MENE MENE TEKERI PERESI ''
.
This is what these words mean:
MENE= God has numbered the days of your reign and brought it to an end!
TEKEL= You have been weighed on the scales and found wanting!
PERES= Your kingdom is divided and given to the Medes and Persians.
 
Kuwa specific na jambo unalotaka kulisemea haueleweki au jana uliingia shift ya usiku kiwandani.
teh teh teh. wajiandae kuwapokea wote hao, LEMBELI, BASHE,KIGWANGALA na MKONO. Halafu eti bado watajiita CHADEMA badala ya CCM magamba.
 
Ule mtindo wa wakose wote/maumivu kwa wote bado unaendelea CCM. Kukata majina ya Mgeja na Lembeli;Bashe na Kigwangalla ni mfano wa hilo. Mtindo huu ulitumiwa pia kukata majina ya Andrew Chenge na Samwel Sitta waliokuwa wakigombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakati huohuo,CCM hiyohiyo imeyapitisha majina ya waliosemwa kuwa ni 'wachafu' kama Lowassa na Chenge. Huu si unafiki jamani? Kwani ndani ya CCM hakuna siasa hadi yaogopwe maneno 'mtupo' ya Lembeli na Mgeja? CCM haina dawa 2015...believe it or not
 
Hii ndiyo CCM asiyetaka ahame haabudiwi mtu chama dume hiki sio wengine wamegeuza chama ndio rasimali sigombei mpaka mnijengee nyumba, sigombei mpaka mnilipie mahari, chama dume hufanya maamuzi magumu
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kile chama kikongwe wewe, umesikia kumpata mgombea umeya kule Ilemela kupitia CDM? ngoma nzito. SLAA amemtuma msuluhishi, kama mgogoro kama wa SYRIA.

Jana slaa amekwenda mwenyewe mwanza kusuluhisha lakini imeshindikana maana slaa nae anamtu wake anaetaka awe meya kazi ipo!
 
Hakuna mpenda majungu na fitna kama slaa yaani aliwaondoa madiwai arusha kwa kusikiliza majungu na fitna za Lema na juzi juzi tu amewaondoa madiwani wa mwanza kwa kusikiliza majungu na fitna kutoka kwa Wenje yaani mpaka sasa slaa anatumia akili za mchumba wake kwa uendeshaji wa chama.

SLAA nasikia anaogopa kukanyaga Mwanza kuuzima moto unaowaka jimbo la ILEMELA kwa sababu anajua yeye ndiye chanzo cha mgogoro huo. Mtu pekee wa kuweza kuuzima moto ule ni ZITTO lakini ndo hivyo tena wameshamzingua.
 
Mkono hajala peke yake amekula na CCM, bilioni za TANESCO waligawana vizuri kabisa

Mkuu mbona sasa unaanza kumtetea si alisema jina lake likikatwa patachimbika na nyie Pro-Chadema JF mkaanzisha thread kutoa maneno mengi eti kama CCM inataka kufa wakate jina la Mkono JK ndio kaishafanya picha mmebaki mnalia lia hovyo mpokeeni Chadema akapambane na Dr Slaa.
 
Maskini Dialo,kosa lake ni kukubali kurusha live mikutano na makongamano ya CHADEMA live kupitia tv yake ya STAR TV japo ni biashara,hawa magamba wanataka ale wapi??!
 
Mimi ni mpenda mabadiliko damdam lakini nataka kusema hivi.... ZZK manipulated Filikunjombe ona sasa wamemuacha
 
Jana slaa amekwenda mwenyewe mwanza kusuluhisha lakini imeshindikana maana slaa nae anamtu wake anaetaka awe meya kazi ipo!

Hawezi kuuzima ule mgogoro wa ILEMELA kwa sababu yeye ni chanzo. Nasikia wamemtuma mtu, sijui anaitwa nani yule? Hivi huyu jamaa( mkubwa wa chama) hana uwezo wa kusuluhisha migogoro kama hii, mbona sijawahi kusikia akikemea chochote mambo yanapokwenda kombo? au yeye yuko kibiashara zaidi nini?
 
Maskini Dialo,kosa lake ni kukubali kurusha live mikutano na makongamano ya CHADEMA live kupitia tv yake ya STAR TV japo ni biashara,hawa magamba wanataka ale wapi??!

Wewe ndo unamsemea? hujui kuwa sera ya CCM hivi sasa ni BIASAHARA na SIASA mbalimbali?
 
Back
Top Bottom