JK asema siri ya ajira nchini ni WAWEKEZAJI anaowafuata nje ya nchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK asema siri ya ajira nchini ni WAWEKEZAJI anaowafuata nje ya nchi!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Oct 30, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  JK kweli anajua kula na vipofu, na amedhihirisha hilo kwenye Q&A session ya jana ( Huku wakiuita ni mdahalo).

  Anasema siri ya ajira nchi hii ni Kuleta wawekezaji? Cha ajabu ukitembelea website ya Twaweza NGO inaonesha msamaha wa kodi kwa hawa wawekezaji uchwara imefikia TSh. 724 billion.

  My take:

  Ukifanya cost-benefit analysis Wawekezaji hawana msaada wowote licha ya hivo viajira vidogovidogo wanavyotoa!
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Naogopa kutoa methali hapa ntaambiwa nimetukana, ila sijui kama ni tusi kutumia neno **** kama yeye alivyosema pale mwembe yanga, so....
   
Loading...