Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
Hivi wachumi wanaomzunguka ****** pale magogoni wana kazi gan? Dah bora BEN kuliko huyu mtu...hata kiberiti kushusha bei hawawezi kweli?????????????:A S 13::A S 13:
Ba martha nikwambie kuna ki dada pale magogoni kwa jk pale ambako huwa kanampa ushauri wa maswala ya uchumi......nimekasahau jina lakini kapo hivi kafupi na huwa kananyoa kipara mara nyingi....sijui ka nane kale...mimi kwa kukaona tu nikasema alipaswa kuwa muandaa makongamano na semina za hapa na pale au kuwa hata mc kwenyematukiio makubwa pale ikulu maana kanafiti sana au kuandaa booking za ndege za jk .......lakini maswala ya uchumi huyu hawezi kabisa...hata CV yake inaonyesha yaani hakusoma uchumi yaani basi tu.....ndo watu kama haka ka binti jk anategema kupata ushauri na ndio maana anakuja na madudu kama haya.......