Hivi ule mradi wa kukataa mashangingi wa WM Pinda umeishia wapi?
Hivi huyu JK anaishi dunia gani. Kila kitu kwake ni kipya na anabaki kushangaa pasipo majibu. Hakuna tatizo hata moja ambalo ameweza kusimama na kutoa ufumbuzi wake. Anapozungumzia kupanda kwa bei ya vyakula halafu anasema fungueni maghala ambayo yamejaa mahindi pekee anamaanisha nini. Hivi anafikiri kwa kujaza mahindi kwenye soko ndiyo bei ya vyakula itapungua? Waliacha wajanja wachache wakaficha sukari kwa lengo la kupandisha bei lakini Serikali ilishindwa kufanya lolote. Sukari iliyokuwa inauzwa kati ya sh. 1400-1500 sasa inauzwa kwa sh. 1700-2000 kwa kilo. Mafuta ya kupikia lt 5 yalikuwa yanauzwa kati ya sh 14,000-16,000 kwa sasa mafuta hayo yanauzwa kati ya sh. 19,000-20,000. Kwa hali hii Mtanzania atawezaje kuyamudu maisha ilhal ongezeko hilo ni kwa kila kitu hadi nauli za daladala. Watu wakihoji Rais anasema wanataka kuangusha Serikali, anapoulizwa anabaki kushangaa na kipato cha Mtanzania kinazidi kuporomoka,
Tufanye nini katika hali kama hii ama ndiyo kiama kwa wanyonge kinatimia?
kwa bongo wananufaika hawazidi lakihapana...unaposhusha kodi bei hupungua na watu hufanya manunuzi zaidi....kutokana na unafuu wa bei...watu watanunua zaidi(in terms of volumes) na wigo wa kodi kupanda....simple economics...kwa vile vat sio production cost
Basi apunguze matumizi ya serikali. Be frugal.hIZI MOVES ZITALIPUNGUZIA TAIFA MAPATO
Hallo WildCard unanokosea kusema mgonjwa,sema alikuwa mgonjwa!!! lakini baada ya kupata kikombe kwa Babu ameshapona.Mchakachuaji,
Rais wetu mgonjwa halafu unaweka heading hiyo. Umetushtua kidogo. Maagizo/ Ushauri wake huo una walakini. Haoni kutokuwa na kodi kwenye mafuta ya taa kunavyochangia uchakachuaji kwenye mafuta mengine?
you wrote sense mr/ms. Thank you important contribution. michango mingine ni yakivuvuvuvuvuzela tu. Hope they will lern from you. Tkanks again.Usalama wa Taifa walipaswa kuna na wataalamu wa kuthibiti mfumuko wa bei, kwani umfumuko wa bei unachangia kukosekana na usalama. Hii ni Hatari ya kuwa na Cocktail ya waagizaji wa bidhaa Nchini (importers), wanauwezo wa kukaa meza moja na kupanga kupandisha bei za bidhaa, lakini kama kungelikuwa na kitengo cha kudhibiti mfumuko wa bei hali isingekuwa hivi ilivyo. Kulitakiwa kuwe na mfumo wa kibiashara unaothibiwa usalama wa nchi, yaani kutafuta, kununua, kuingiza bidhaa muhimu kama mafuta, nafaka, sukari n.k na kuziuza kwa bei poa ilikulazimisha kushusha bei. Kwa mfano TPDC, na Mashirika ya Umma, yakiongozwa na Usalama wa taifa kwa kificho au wazi wakatumia pesa za serikali kuagiza bidhaa na kuuza kwa bei poa wafanyabiashara nao watashusha. Sio sahihi kwa serikali kujitoa kufanyabiashara, asali zake ni hizi...
Usalama wa Taifa walipaswa kuna na wataalamu wa kuthibiti mfumuko wa bei, kwani umfumuko wa bei unachangia kukosekana na usalama. Hii ni Hatari ya kuwa na Cocktail ya waagizaji wa bidhaa Nchini (importers), wanauwezo wa kukaa meza moja na kupanga kupandisha bei za bidhaa, lakini kama kungelikuwa na kitengo cha kudhibiti mfumuko wa bei hali isingekuwa hivi ilivyo. Kulitakiwa kuwe na mfumo wa kibiashara unaothibiwa usalama wa nchi, yaani kutafuta, kununua, kuingiza bidhaa muhimu kama mafuta, nafaka, sukari n.k na kuziuza kwa bei poa ilikulazimisha kushusha bei. Kwa mfano TPDC, na Mashirika ya Umma, yakiongozwa na Usalama wa taifa kwa kificho au wazi wakatumia pesa za serikali kuagiza bidhaa na kuuza kwa bei poa wafanyabiashara nao watashusha. Sio sahihi kwa serikali kujitoa kufanyabiashara, asali zake ni hizi...
hapo ndipo tunapoona upeo wake mdogo wa kufikiri.yeye anadhani tu kuingiza chakula cha akiba ndio kutapunguza mfumuko wa bei.kuna factors nyingi sana zinachangia,mfano bei ya mafuta.mfumuko wa bei unachangiwa zaidi na bei ya mafuta.akiweza kudhibiti bei ya mafuta,mfumuko na utapungua.lakini kwa sababu hana hata idea hizi,basi tujue tu inakula kwetu kwa sana tu mpaka 2015.inatia huruma kuwa na kiongozi ambaye ana mawazo duni kama huyu wa sasa.