TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Mgombea wa uraisi kupitia cuf profesa ibrahimu lipumba amemwambia rais mteule jk ya kwamba ni haibu kwa rais kupata kwa asilimia 27% ya kula zilizopigwa.na kumshauri lazima serikali yake ikae chini na kuangalia tatizo ni nini.watu walienda kupiga kula ni 42% ya wapigakura waliojiandikisha.