Jk apata 27% ya kura zote zilizopigwa huku wapinzani wakipata 15%.(lipumba)

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Mgombea wa uraisi kupitia cuf profesa ibrahimu lipumba amemwambia rais mteule jk ya kwamba ni haibu kwa rais kupata kwa asilimia 27% ya kula zilizopigwa.na kumshauri lazima serikali yake ikae chini na kuangalia tatizo ni nini.watu walienda kupiga kula ni 42% ya wapigakura waliojiandikisha.
 
Alafu wanakenua meno kwa ushindi waliopewa na NEC
 
Profesa kama msomi yeyote na mwenye kuitakia nchi mambo mema lazima aseme na awafikishie ujumbe. Tukumbuke kwamba hii ni Tanzania ya Watanzania na si ya CCM, Chadema, CUF, NCCR, TLP n.k. tukishalijua hilo basi, twapaswa kuheshimu na kukubali mamlaka yaliyo juu yetu huku tukiwa na mpango mkakati wa maana sio siasa za kukurupuka.:smile-big:
 
Back
Top Bottom