Elections 2010 Jk aogopa tucta kumobilise wafanyakazi, shimiwi yapigwa stop

Kama ni kunaba matumizi wasingefanya maanadalizi yote alafu lastmin unacancel kila kitu tayari wameshaingiza hasara. hawana lolote ni kukwepa TUCTA TU wanajifanya kuwapa nafasi wafanyakazi kutoa huduma leo ndio wamejua kuwa wanahitaji kutoa huduma??

WAFANYAKAZI MSIMAMO WETU ULE ULE HATUWAPI KURA MAANA ITAKUWA TUNAJIPENDEKEZA KWAO, TENA NI KASHFA KUBWA MTU AMETUKANA MBELE YA ULIMWENGU MZIMA HALAFU TUNAMPA KURA LOL! TBC INAONEKANA SEHEMU NYINGI DUNIANI TENA KWA MBWEMBWE NYINGI NA VIFIJO VYA WALE WAZEE WALIOKUWA WANAMPIGIA MAKOFI AKATUKANA LEO HII TUMPE KURA HAIWEZEKANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tena basi wanapiga makofi kwa mbwembwe then kesho wanalalamika ooh watoto hawatutumii pesa za matumizi sikuhizi ..... Wanasahau kuwa watoto wao ndio wafanyakazi wanaodai nyongeza za mishahara..... na wao wanashangilia kwa serikali kuto ongeza....!!
 
Tutashukuru wakitupa updates fedha zilizotumika so far ni kiasi gani na zimebaki kiasi gani na zilizobaki watazitumia kufanya nini?
Unaweza kuta CCM wameanza kuishiwa ela so wanasaka kwa udi na uvumba bse this time hamna za EPA
 
This is my point no EPA this year
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom