halaf hyo ni page moja kati ya comments 150, watu wamechoka jamani maana hiyo mitusi, ni aibu kwa kiongoz km huyu.
Eshacky ungetumwagia utamu huo wa mkuu wa nchi! kweli na aibu anashindwa kuelezea hali ya nchi ilvyo anatuwekea picha yake na 50% inaboa kweli
Ritz ndo ujue sio JF tu, ndo waliomchoka na vituko vyake, kila social network inamponda, sa inabid uwende na kule ukamtetee,la sivyo nepi nepi atakufukuza kaz km FF.
Nahangaika na nani tena mkuu?
ha ha ha! Kaamua Kuifuta ile status kudadadek, ujumbe ushamfikia, akae akijua we are tired of his nonsense. Ye kucheka cheka tu. Na subir vyuo vifunguliwe km waandamizi wake wanampa matakwimu na kupongezana na mivinyo ndo atajua ukwel pale ambapo vyuo vyote nchini vitakapogoma! Wajiandae kuwatupia zigo la lawama CDM,maana ndo zao.
Basi ngoja nikupotezee...Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...
aibu iliyoje,raisi wetu na mhuni wa mtaani,huku kwa ujinga wake akijiona kaula.loo,noma sana.si ajabu alikuwa naye kwenye disco,maana jamaa kwa starehe huyo noma.
hahaaa ngoja 2015 ifike ndo utajua watu wanamaanisha nini
Hajafuta. you need to log in your facebook account to read all the comments. Ila comments wanazoacha watu sio mchezo though nakubaliana nae aliposema we "have survived for fifty years." Yaliyondikwa kule yangeandikwa hapa unakula ban la maisha.
kaka hivi unajua kirefu cha JK =(Just Kídding).
Sa nahc mpaka kazi zake anafanya ki JK JK,
Kumeanza kukucha sasa!